Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Ila Beck hamuwezi ronday hata afanyaje yule dada napigana kimafia ww one day watakutana tuu.. Hataa Charlotte flair hamuwezi ronday sema mechi mkisha kuwa zaidi ya 2 inakuwa kama viziana tuu sio kama Icons walivyo vizia tuu hawajui lolote.. Becky ana pambana sana ila sio kwa ronday asee uliona vile vi futi jana alivyo kuwa anawarukia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kbs, sema tatizo la flair akiona anazidiwa huwa anakimbilia viti na meza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wapenzi wa wrestling(Mieleka) huu hapa ndo uwanja wetu.....Njooni tupeane updates za yanayoendelea kwenye tasnia hii....

Tupia comment yoyote.....tupia picha au video ya mieleka yoyote......uliza chochote kuhusu mieleka na wanamieleka upate majibu toka kwa wataalamu...

Haya sasa karibuni tujimwaemwae.....
Hao wacheza mieleka wa sasahivi ni wachumba Tu, Ngoma wazee wa kazi wenyewe kina tatanka, Steve mc Michael, lex Ruger,British bulldog, yukozuna, repo man,Steiner brothers,macho man, etc , I miss those good days
 
Mabaunsa haya ndiyo hatari!Yakihamua kupigana bila kuogopa kuvunja watu basi watu watakoma!Nia Jax alimvunja mbavu alexa bliss hadi leo alexa bliss hajawa cleared tena kupigana!View attachment 1066298
Bidada karudi..na mkwara mzito.kaanza na bayley
Screenshot_2019-04-09-10-59-38.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wacheza mieleka wa sasahivi ni wachumba Tu, Ngoma wazee wa kazi wenyewe kina tatanka, Steve mc Michael, lex Ruger,British bulldog, yukozuna, repo man,Steiner brothers,macho man, etc , I miss those good days

Ni wachumba kwa minajili ipi?? Unawezaje kusema mtu kama Roman, Drew, Seth, Samoa,
Bidada karudi..na mkwara mzito.kaanza na bayley
View attachment 1066663

Sent using Jamii Forums mobile app

Uwezo wa Bliss huwa unanipa Mashaka, namuonaga ni mjanja mjanja sanaa ulingoni.
 
WWE sometimes wanafell Kwenye Script zao, maana kama game ya SETH vs KOFFI ya kwenye Raw ilikuwa inaonekana kabisa kuwa haitoisha salama

what a lovely Day!!
 
Back
Top Bottom