Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Mimi dude simpendi kabisa nimefurahi alivyopigwa curb stomp tatu!.....Siku ile Finn balor alikosea kidogo alitakiwa amrukia mara tatu au zaidi siyo kama vile alivyomrukia mara moja!!

Brock nadhani ni mdhaifu sana kwenye kichwa, ukimpiga vizuri anatapatapa kama nyoka aliepigwa kichwani, na finishing style ya Seth ni nzuri, ila kama angetumia Pedigree assingemuweza
 
Pedigree ni ya uzushi ila pia angekosea akampiga curb stomp moja tu pia asingemweza!Bahati nzuri amekuwa mjanja akamgonga tatu!!

Hahaha, Alikua mjanja sana, Brock kumpiga ni Ujanja kwa hawa wrestler wetu wa sasahivi, ila katika Maisha yake hatamsahau CM Punk alimsumbua kwelikweli
 
I am proud The Man
IMG_20190408_073829.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom