kingzard
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 636
- 807
HahaahHata haivutii, bora hata ya Lesnar na Lile kubwa jinga Roman Reigns kidogo ilivutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel we hewa
HahaahHata haivutii, bora hata ya Lesnar na Lile kubwa jinga Roman Reigns kidogo ilivutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Kwa Lesnar ase hamnaThe McMahon wamezingua hiyo match, kama wasingempa strawman basi wangempa hata McIntyre.
Namkubali dogo Finn lakini ili kuleta burudani wangempambanisha na Dean Ambrose, hapo ningeangalia nikiwa na popcorn around
Af sijaangalia mieleka week hii, hivi ilikuaje hadi Finn apate hii opportunity?Ila Kwa Lesnar ase hamna
Waliandaliwa pambano yy, john cenna na dre mactyre (sijui km jina nimepatia).Af sijaangalia mieleka week hii, hivi ilikuaje hadi Finn apate hii opportunity?
huyu Drew McIntyre naye ni ubabe wa bure tu, ila at least ndo angekutana na lesner sio FinnWaliandaliwa pambano yy, john cenna na dre mactyre (sijui km jina nimepatia).
Akawashinda hao ndio akapata hiyo chance
Sent using Jamii Forums mobile app
Ht Finn anaweza kufanya wonders, ule mchezo ni timing tu na kumjua adui yakohuyu Drew McIntyre naye ni ubabe wa bure tu, ila at least ndo angekutana na lesner sio Finn
Ht Finn anaweza kufanya wonders, ule mchezo ni timing tu na kumjua adui yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Atafurukuta kama wengine but kichapo kikali kipo palepaleTusubiri tuone, japo Finn naye ni mbishi
Mzee hatuitaji kushinda kwa kudra za mungu, Tunahitaji uwezoHt Finn anaweza kufanya wonders, ule mchezo ni timing tu na kumjua adui yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mdada, sio mzeeMzee hatuitaji kushinda kwa kudra za mungu, Tunahitaji uwezo
Hv DSTV channel ya mieleka ni namb ngap??
Thanks mkuuLive ni SS8 ila marudio ni SS9
Nakubaliana na wewe kwa 100%Kuna kitu kati ya WWE na Lesnar, coz haiwezekani Lesnar hajapigana tangu PPV 2 zilizopita then Leo unampa game na Finn Balor tena Main Event ya Royal Rumble....
Sent using Jamii Forums mobile app
Stromlwman kubwa jingaWadau wa haya mambo kati ya STROWMAN & LESNAR nani zaidi ya mwenzake?
Mimi kwangu huwa namuelewa strowman zaidi
hii nakubali 100%Kuna kitu kati ya WWE na Lesnar, coz haiwezekani Lesnar hajapigana tangu PPV 2 zilizopita then Leo unampa game na Finn Balor tena Main Event ya Royal Rumble....
Sent using Jamii Forums mobile app