kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,002
- 9,091
Ana mbabe wake mma alimkalisha vibayaPunch za Ronda jamani... Ni lazima wakimbie
Hapa akiwa bado MMA
View attachment 1004801
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana mbabe wake mma alimkalisha vibayaPunch za Ronda jamani... Ni lazima wakimbie
Hapa akiwa bado MMA
View attachment 1004801
Sent using Jamii Forums mobile app
Holly Holm hebu mcheki huyo
Shukran mkuuPre show inaanza saa saba ya usiku kwa saa za huku kwetu ambapo zitachezwa mechi mbili kabla ya main event!
Chann3l no ngapi dstv?Pre show inaanza saa saba ya usiku kwa saa za huku kwetu ambapo zitachezwa mechi mbili kabla ya main event!
Prediction zangu.
Kwakuwa wreslemani wanataka ronday vs the man becky au the qeen...haya yanaweza kutokea.
The qeen kushinda royal rumbe then atachagua kupigana na ronday
Au then man becky kumpiga asuka then ronday aingie royal rumble ashinde( hapo ni km akipigwa na the boss) then amchague becky..( but hii ni ngumu sababu sidhani km watataka kumtoa RAW
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabiri tu ila hawezi shinda maana mechi ya wreslemani ni Brock vs BrownMimi nikitabiri kuwa finn balor atashinda mtanipiga mawe?