Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Dah kweli WWE ilikuwa zaman
Kutana na mzee wa ndevu nyeupe-Hulk Hogan,Boker T, D generation X-Shawn Michaels na HHH,Cut angle, Cutting Edge,The Hardis-Jeff na Matt,the undertaker,big show,omaga(rip),Kane,Bobby lashley(nlimkubali sana huyu jamaa),aloo kale ni kale.
Kutana na Mzee wa misifa McMahon.
Lex luger,chriss benoit.
 
Kweli Royal Rumble imepoteza mvuto, yaan hakuna kabisa wa kupigana na Lesnar!!!! Hugo fin ballor hata Seth Rollins bado hajamweza Leo ukamweke na Lesnar Kweli!!!! Duuh afadhali nimerudi zangu kwenye mpira, Arsenal jiandaeni kutupisha hiyo nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi unena vyema kabisa kwa kweli sijapenda hili pambano na halina mvuto.the beast atamua huyo mtoto mapema sana.hizo sarakasi zake zimefika mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punch za Ronda jamani... Ni lazima wakimbie
Hapa akiwa bado MMA
IMG_20190125_200408_149.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom