Nipo macho saa saba usiku naangalia impact.hawa jamaa wanajua sana mieleka zaidi ya wwe.nainjoi sana kuwatizama wana pigana sana na wana finishing za kufamtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu impact ni atariNipo macho saa saba usiku naangalia impact.hawa jamaa wanajua sana mieleka zaidi ya wwe.nainjoi sana kuwatizama wana pigana sana na wana finishing za kufamtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi Brock atapigwa na huyo dogo?i waiting this for years!.....ndoto yangu imetimia sasa!!View attachment 994675
Haitatokea hata kidogoUnahisi Brock atapigwa na huyo dogo?
"..I have been waiting this for years.." mkuu..naona umeteleza kidogoi waiting this for years!.....ndoto yangu imetimia sasa!!View attachment 994675
Nimeteleza nini?ule mkanda wa universal championship siyo wa mtu mmoja mzee!Other People should test their limit na hiyo ndiyo maana halisi ya kuwa mpiganaji,hata wewe ni lazima ujaribu kutest your limit hata kwenye haya maisha tunayoishi ya kawaida!"..I have been waiting this for years.." mkuu..naona umeteleza kidogo
Ugiligili
Ninachokiamini mimi ni kuwa people should test their limit!Unahisi Brock atapigwa na huyo dogo?
Inaweza kutokea, mbona hata Daniel alimsumbua sana.Haitatokea hata kidogo
Hahhahahaa"..I have been waiting this for years.." mkuu..naona umeteleza kidogo
Ugiligili
Kweli Royal Rumble imepoteza mvuto, yaan hakuna kabisa wa kupigana na Lesnar!!!! Hugo fin ballor hata Seth Rollins bado hajamweza Leo ukamweke na Lesnar Kweli!!!! Duuh afadhali nimerudi zangu kwenye mpira, Arsenal jiandaeni kutupisha hiyo nafasi.i waiting this for years!.....ndoto yangu imetimia sasa!!View attachment 994675
Watamsumbua Tu lakini sio kushinda hata kidogo
Mkuu haujapata picha ile gari ya MC MahonWatu wanamuunderestimate finn balor but i will walk with him!
Hata haivutii, bora hata ya Lesnar na Lile kubwa jinga Roman Reigns kidogo ilivutiaWatu wanamuunderestimate finn balor but for me i will walk with him!