Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

i waiting this for years!.....ndoto yangu imetimia sasa!!
Screenshot_20190115-075228_1.jpeg
 
"..I have been waiting this for years.." mkuu..naona umeteleza kidogo

Ugiligili
Nimeteleza nini?ule mkanda wa universal championship siyo wa mtu mmoja mzee!Other People should test their limit na hiyo ndiyo maana halisi ya kuwa mpiganaji,hata wewe ni lazima ujaribu kutest your limit hata kwenye haya maisha tunayoishi ya kawaida!
 
The McMahon wamezingua hiyo match, kama wasingempa strawman basi wangempa hata McIntyre.
Namkubali dogo Finn lakini ili kuleta burudani wangempambanisha na Dean Ambrose, hapo ningeangalia nikiwa na popcorn around
 

Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom