Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,407
Baron corbin baada ya kupewa kichapo cha mbwa koko na wenzake kwenye TLC, jana kwenye monday night raw amepewa kichapo kingine kizito na management nzima ya raw!
Ni kweli mkuuIla pamoja na yote mi naamini hii game huwa wanapigana ukweli kbs.
Mf: brawn strowman alipigwa mkono mpk ukavunjika ukaanza kuvuja damu na mpk sasa mkono bado haujapona, umefungwa
Baron corbin baada ya kupewa kichapo cha mbwa koko na wenzake kwenye TLC, jana kwenye monday night raw amepewa kichapo kingine kizito na management nzima ya raw!
Huwa kuna trick na reality mkuu!Ila pamoja na yote mi naamini hii game huwa wanapigana ukweli kbs.
Mf: brawn strowman alipigwa mkono mpk ukavunjika ukaanza kuvuja damu na mpk sasa mkono bado haujapona, umefungwa
Hapo sawaHuwa kuna trick na reality mkuu!
Mkuu umefufuka?Ni kweli mkuu
Lesner aka coward Champ.Huyu mwamba ndiye atakuja kumpa challenge LesnarView attachment 972075
Week aftet week inamaana kuanzia wiki ijayo atakuwa wanaingizwa kadri uongozi utakavyoona inafaa.Lesner aka coward Champ.
Halafu hawa jamaa watakuwa introduced officially lini?
Kwa mabadiliko ambayo akina Vince McMahon wamepania kufanya kuna uwezakano pia mkanda wa universal ukarudi raw na kuanza kuwaniwa mara kwa mara kama mikanda mingine!Huyu mwamba ndiye atakuja kumpa challenge LesnarView attachment 972075
Asijekuwa kama strowman tu ngoja tuoneHuyu mwamba ndiye atakuja kumpa challenge LesnarView attachment 972075
Wanazingua mkuu, mwenyewe nashangaa hapa kulikoni!Aisee mbona time hii hawaoneshi Wwe supersport8 kuna mabadiliko yoyote