Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,401
Alichokifanya Seth rollins leo ndicho tunachotaka tuwe tunakiona kwa machampions!!.....baron corbin leo amefundishwa kuwa na adabu!
Seth alimnyorosha Corbin na bado anasubiri kipigo ya Brawn StrongomanAlichokifanya Seth rollins leo ndicho tunachotaka tuwe tunakiona kwa machampions!!.....baron corbin leo amefundishwa kuwa na adabu!
Corbin alitaka amtumie refa ili apate ushinde bwerere wote wakaishia kula kichapo cha mbwa koko!!Seth alimnyorosha Corbin na bado anasubiri kipigo ya Brawn Strongoman
Supersport ipi mkuuKesho(16/12/2018) mtanange wa TLC utaanza saa tisa ya usiku kama kawaida!
8Supersport ipi mkuu
Kama kawa kiti ya mbeleWangapi tupo macho?
HahahahaAlichofanyiwa baron corbin kinatia huruma!....but he deserve it!