Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kweli kuamini mieleka ni mchezo Wa ukweli ni ujuha. Yaani huyu baron cobbin ndo amepoteza nafasi yake kwa maigizo ya namba hii. Mchezo hauna hata sheria? Stuka we kilaza
 
Kweli kuamini mieleka ni mchezo Wa ukweli ni ujuha. Yaani huyu baron cobbin ndo amepoteza nafasi yake kwa maigizo ya namba hii. Mchezo hauna hata sheria? Stuka we kilaza
Lengo lako ni nini?
Afu uwe unamwambia jamaa anakazia mapema kabla hajakesha kutazama hzo burudani

Naona hujui hata mana ya wrestling entertainment
 
Ungekuwa siyo kilaza usingekomenti.
Sasa uko humu kwa uzi wa vilaza unafanya nini?!
.yani unaona wote humu hatuna akili,aiseee hebu uliza hata jirani yak hapo nini maana ya BURUDANI kilaza mwenzangu

Afu anzisha uzi wako ili uepukane na vilaza
 
Back
Top Bottom