Duh! Hujafa hujaumbwa!Mimi nilikuwa sijui haya mambo ....
Afadhali umeelezea, nilidhani wana pick mtu kuwa aina fulani ya member, kama ni hivyo hebu nielezee process ya kuchangia
Mimi nilikuwa sijui haya mambo ....
Afadhali umeelezea, nilidhani wana pick mtu kuwa aina fulani ya member, kama ni hivyo hebu nielezee process ya kuchangia
Post yako ya kwanza imeboreshwaWakuu Mike McKee, Invisible, makamanda wanaitaji kujua process waanze kuchangia.
Kwa hakika ni sahihi,naomba mtujulishe jinsi ya kuchangia.sisi wengine humu ni wageni kabisa.
Post yako ya kwanza imeboreshwa
Ritz ili ni wazo zuri nami naahidi kulifanyia kazi kuhakikisha jf inasonga mbele!
Mbona lakini umeongelea pro-cdm tu, vipi kuhusu pro-ccm? Una uhakika pro-ccm wamesha iwezesha jf wote?
Bora uandike tu pro-ccm+pro-cdm tuchangie jf!
Kinyume na hapo utaonekana umekosa hoja ya siasa sasa umetafuta pengine!
Me nimelipokea hili wazo na nitalifanyia kazi!
Angalia usije ukawa umekosa pakushika!

Mkuu nadhani wewe ni mkongwe humu JF tatizo kubwa la kuchangia JF lipo jukwaa la siasa, nenda jukwaa la MMU, Chit-Chat utakutana Pro-Chadema wengi tu wamechangia JF.
wee Ruttashobolwa na sisi wana APPT cha dovutwa mbona hututaji? au we do'nt matter?
Ritz si vizuri kusema ukweli mkavu kwa sababu za kuheshimiana; lakini mamluki wa CCM kwenye "jukwaa la Siasa" wanatufanya tusihojiane kihoja bali kupandishana hasira na kutukanana.
Nashauri pro CCM muwe serious tuchangiane hoja za kitaifa, watu binafsi watapita taifa litadumu daima