future mind
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 221
- 230
Kama nilivyoeleza apo juu.... mimi ni mmoja kati ya tuliochaguliwa second round ya multiple selection na kucomfirm IFM lakini mpaka leo sijapata admission namba na Leo nimeona new news mtandandaoni ikielekeza registration.... sasa inakuwaje registration kati ata admission namba cjapata wadau...????