Wadau wa burudani yupo wapi Mc Babu Ayubu

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,283
Reaction score
11,553
Wadau wa burudani nadhani mnamkumbuka uyu mtu nimesikiaa wimbo wa kikao cha dharula wa prof jay nikakumbuka hiki kipaji kilichojizolea umarufu kwa kuiga sauti za watu mashuhuri mbali mbali hapa mjini hasa sauti ya mzee wetu afande tibaigana

Kajificha wapi uyu mtanzania mwenzetu.
 
naona 2014 ndio mwisho ukisearch google
 
Mara ya mwisho 2019 nilikuwa nakutana naye Saranga,Mbezi Dar.Pale Temboni garden alikuja kuunga kwa Mc Fulani hivi.
 
Wabongo hawakawii kusema jamaa shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…