Wadau nataka kujiua

Wadau nataka kujiua

Wewe ni wa Allah au ni wa Jehova(Mungu wa kweli) kama ni wa Allah kuna rungu kubwa kutoka mashariki mpaka magharibi linakusubiri,malaika wa Allah watakutandika nalo utazama mpaka ardhi ya saba kishq utachomolewa huko ardhini kuendelea kuteswa.
Stori za Watoto hizo.
 
Allah Yehova Yahweh hakuna tofauti
 
Nimeshafika kuzimu.
Nyie ndio wale watu wanaolalamikia wengine kwa ujinga Wako wala sikuambi Mungu anakupenda Hioo ni juu yako, Hata shetani anaitaji Wafuasi unaeza ukawa mmoja Wpo ITS GOOD VS EVIL
ukiona kwamba wewe ni nyani, Mungu hajakuumba Ni Sawa Pia
ILA BORA TUAMINI MEMA ROHONI TUKUTANE NAYO
AMINI MAOVU MOYONI AFU UKAKUTANE NA MEMA😅😅
MBONA NI AKILI NDOGO SANA HII NGUVU YA ILIOPO ULIMWNGUNI KATI YA MEMA NA MABAYA SIO MAMA AKO ALIOLETA
 
Check series moja ya kikorea inaitwa TOMORROW, utajua thamani ya uhai hata kama ni ya kufikirika lakini kuna kitu utajifunza.
Pole sana kwa changamoto unayopitia
Okay, nitaitazama.
 
Kila la heriii mkuu ,msalimiee yesu ,naomba muulizee ni kwann hakutakaga kuoa kbs au kujigusisha na wanawakeee🤔🤔
Kwa mujibu wa kitabu cha The Da Vinci code, sura ya 22. Yesu alimuoa Mariam Magdalena na walizaa na mtoto
 
Back
Top Bottom