Wadau nataka kujiua

Wadau nataka kujiua

We jiue tu jomba,kwani wakati unazaliwa ulitutaarifu?
 
We jiue tu jomba,kwani wakati unazaliwa ulitutaarifu?
 
Watu wengi Kwa comment wanakudhihaki lakini believe me, your life is so precious, it's a gift from God why taking it so sooner? You may have challenges that makes you to feel that way but believe me suicide is a coward way to escape, why kill yourself while you can accomplish a lot of things, please stop thinking about that , by ending your life you will suffer the most please ask for help you still have time
 
Nakuhakikishia huto kufa...yale unayo yaona magumu ni muda tu...yatakuwa mepesi hadi utaanza kujilaumu...!

Hakuna mtu ambae hajawahi kupitia hali kama yako...hata mimi nilikuwa na mawazo kama yako mwisho wa siku mambo yangu yameninyookea...nadunda na nina ishukuru dunia....!

Tuambie kinacho kusibu tukushauri....ulionalo gumu kwako kwa mwenzio ni jepesi sana​
 
Daah! Kwa hsya maoni mtoa mada mdomo wazi kamba kiunoni
 
Ni uzembe kuzikimbia changamoto mkuu, lakini hii dunia bna unaweza kudhani hupendwi na huthaminiwi kumbe sivyo, wapo wanaokujali na kukuthamini wanakusubiri useme suu.

Kukaa ni kitu motoni ndio shida ya watu wengi, hii mitandao nayo jau sana. Mtu akileta hoja huku anasimangwa, anatukanwa basi na yeye kwa ufupi wa akili yake anahisi basi dunia nzima imempa kisogo kumbe sivyo.

Fikiri mara mbili kijana.
 
Fikisha salamu kwa Magu mwambie katuachia msala wa Kuzimkaz
 
Back
Top Bottom