Wadau nataka kujiua

Wadau nataka kujiua

Check series moja ya kikorea inaitwa TOMORROW, utajua thamani ya uhai hata kama ni ya kufikirika lakini kuna kitu utajifunza.
Pole sana kwa changamoto unayopitia
 
Wadau naona huyo Mungu wenu ameshindwa kunikill. Sasa Mimi nataka nijiue mnaonaje?

Jitahidi sana uikimbie hiya Dhabi. Uhai wake hukuutengeza were, Huna haki ya kuundoa. Mungu kukuletea Duniani alikuwa na kusudio. Were kuondoka katia Ulimwengu huu muda usio sahihi ni kuyakufuru mapenzi ya Mungu aliyekuumba.
 
Check series moja ya kikorea inaitwa TOMORROW, utajua thamani ya uhai hata kama ni ya kufikirika lakini kuna kitu utajifunza.
Pole sana kwa changamoto unayopitia
Kwa hatua kama hizo alizofikia kujikana nafsi hata umnunulie magari na majumba bado kwake havina thaman
 
Back
Top Bottom