Wadau nataka kujiua

Wadau nataka kujiua

Mpumbavu mmoja akifaa sio mbaya
unampango wakufa na kuanglia series ya movie inaitwa Tomorrow😅
NYIE HATA KUWAZIKA HATUZIKII
 
Huyo Mungu haieleweki sasa, mara tuna free will, mara yeye ndiye apanganye kila kitu,(dilemma).
FREE WILL YA WEWE KUAMUA UMNYENYEKE AU USIMNYENYEKEE HIVI UNAZANIA WEWE MMOJA UNAMPUNGUZIA NINI?? MAANA WAPO MAELFU WANAOKOKA MUDA HUU SASA HVI!!! UKIFA WANAZALIWA WENGINE TUMIA MUDA WAKO KWA BUSARA AU USITUMIE KWA BUSARA NI JUU YAKO MEKU UNGEKUWA KARIBU NINGENUNUA SUMU YA PANYA NIKUANGALIE KAMA HIO MIKONO YAKO ITADHUBUTU
 
Kwenye msiba wake uwe kwenye kamati, upange bajeti ya vinywaji kubwa kuliko chakula.....ili usiku tukeshe tukinywa 😂😂
Ntahakikisha kwanza wachimba kaburi wana Mizinga ya Konyag ya kutosha.

Budget ya vinywaj itakuwa kubwa kabisa😂😂😂, chakula kila mtu atakula kwao.
 
Unajua changamoto kweli wewe??!!.
On a very serious note, natamani niwasiliane na wewe, tusali pamoja kwa muda wa siku 12 Novena takatifu ya Mtakatifu Rita, uone mambo mapya na Ukuu wa Mungu katika maisha yako....

Badili basi mindset tusali. Kama hautajali
 
Pamoja na Ulevi wangu nina amini Mungu yuko na ninasali...
 
Attachments

  • EC823FB2-D02B-4D83-9F44-D84EB3E090BC.jpeg
    EC823FB2-D02B-4D83-9F44-D84EB3E090BC.jpeg
    401.2 KB · Views: 8
Tusimpuuze, maombi yahusike, wenye matatizo ya akiri now ni wengi mtaani, ni mengi yanachangia haya.

Ushauri wangu kijana usijiue tafadhali tafuta mwana saikorojia kaa nae atakusaidia.
 
On a very serious note, natamani niwasiliane na wewe, tusali pamoja kwa muda wa siku 12 Novena takatifu ya Mtakatifu Rita, uone mambo mapya na Ukuu wa Mungu katika maisha yako....

Badili basi mindset tusali. Kama hautajali
Na mimi nataka unifundishe hiyo sala, mshawishi tuwe watatu 😊😂
 
Back
Top Bottom