Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,230
- 6,471
Wadau mada hapo juu yajitosheleza, siamini nilichosikia juzi BBC Radio- Swahili.
hatari sana amepiga bila kuacha km 30 hivi dah...Wadau mada hapo juu yajitosheleza, siamini nilichosikia juzi BBC Radio- Swahili.
Basi yupo fiti sana, anaweza kuongoza Uganda kwa miaka 20 tena ijayo.hatari sana amepiga bila kuacha km 30 hivi dah...
Hivi pushups ina madhara gani kwa wazee?Kwa umri wake wa miaka 75 anahatarisha uhai wake,afanye tu mazoezi mepesi kwa afya bora lakini sio pushups...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia walikuwa noma yeye, Besigye, Salimu salehe nkAnajikumbushia enzia zake zile ukizingua umechezea vitasa.
Huyo ni retired Soldier and incumbent Commander in Chief
Anajikumbushia enzia zake zile ukizingua umechezea vitasa.