Kijana aliyebuni mtambo wa kuzalisha petrol akatishwa tamaa na Serikali. Serikali inaua ndoto za vijana wabunifu

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Inasikitisha sana Nchi kama Tanzania inakuwa kikwazo cha ndoto za vijana wengi walioamua kuwa wagunduzi, wabunifu na waboreshaji wa vitu mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Kwenye majukwaa ya kisiasa, mitandao, kwenye TV na Radio. Utasikia serikali inasema tunainua vijana walio wabunifu, sijui tunawasaidia na maneno ya kuvutia rukuki, ila kiuhalisia hao hao watu wa serikali ndio wanawakwamisha hawa vijana na kuua ndoto zao.

Juzi kati kipindi cha radio Power Breakfast cha Clouds FM walienda Dodoma ambapo walimfanyia mahojiano kijana wa kitanzania ambaye kitaaluma yeye ni Engineer wa mazingira (Environmental Engineer).

Kijana huyu aliweza kubuni mtambo mdogo wa uzalishaji Petrol, Dizeli, Home Cooking Gas, Kerosene nakadharika kwa kutumia takataka za plastiki. Yani plastiki zinachomwa na kisha kugeuzwa kuwa Petroli hii ya kuendeshea magari, ambayo leo hii tunaangalia nayo kuwa imepanda bei.

Cha kushangaza ni namna ambavyo kijana huyu aliamua kwenda kwenye ofisi za Serikali hapo Dodoma kuomba hile milioni 50 kama mkopo wa vijana ili aendeleze project yake hiyo na azalishe petroli, dizeli, gas, na Kerosene ya kutosha kwa ajili ya matumizi ya taifa lake. Lakini alivyofika kwenye hizo ofisi akakatishwa tamaa na afisa wa serikali kuwa ni bora aachane na hiyo project, ajikite kwenye Kilimo. Yani aachane na uzalishaji wa Petrol na product zingine zinazoambatana na petrol aamie kwenye Kilimo ambacho kila mtu anafanya. Sasa kwa hiyo taifa zima tuwe walimaji?. Lakini kuna afisa mwingine aliyekuwa pembeni akisikiliza akatoka na kumwambia kuwa kijana hiyo project ni nzuri na usiiiche hata kama umekosa pesa jitahidi ukomae nayo, usikatishwe tamaa. Kijana akatoka hapo akarudi nyumbani.

Leo hii nchi kama China inapiga hatua ya maendeleo kwa kuwekeza nguvu kwa vijana wabunifu. Ndio maana bidhaa nyingi hasa za kiteknolojia nyingi zinatoka China. Ukisikiliza mahojiano ya huyo kijana anasema moja kwa moja kuwa China inatengeneza Petrol kwa kutumia mfumo huu ambao yeye pia ameugundua. China ni mnunuzi mkubwa wa Takataka za plastiki Duniani kote kwa ajili ya kubuni na kutengeneza vitu mbalimbali ikiwemo petrol hizi tunazolia nazo leo zimepanda Bei.

Alafu wanakuja watumishi wa serikali wanakwambia achana nayo, nenda ukalime. Sasa serikali yetu inataka kila mtu afanye kazi ya Siasa na Kilimo. Yani wote tuwe wafuasi wa vyama vya siasa na wakulima. Mwisho wa siku hawa vijana ndio wanarundikana kwenye Siasa na mashambani, huku Taifa likishindwa kuzalisha kina Elon Musk wapya.

Masoud Kipanya anaonekana kuonyesha nia ya kutaka kumsaidia kijana huyu, kwa sababu Masoud Kipanya naye ni mbunifu wa magari ya umeme, naye amewahi kukwamishwa sana na watu kwenye project yake ya magari ya umeme. Kwa sababu anayajua machungu, ameamua kuonyesha nia ya kumsaidia kijana huyu ili ndoto isonge.

Tizama maelezo kwenye video hii hapo chini, unaweza kusogeza mbele kuepusha matangazo ya kipindi.

View: https://www.youtube.com/live/6Iyn83XI7lw?si=WcHfkyUD1GvFS21K
 
tz hakuna fungu la kufund research.... mikopo ni ya kibiashara wala hakuna investment bank ukikopa leo mwisho wa mwezi au kesho uanze kulipa...(business loan)ana takiwa akomae azalishe mpaka demand izid supply uone kama benki hazitampa mtaji tena zitamfuata... bado yupo kwenye reseacha hajui taka kiasi gani zinazalisha petrol au deseli lita moja au gas lita moja...kwa halii hii unaweza kuta taka za sh 10k zinazalisha lita moja ya mafuta au kilo moja ya gas....bado kuna ghrama za uzalishaji na uchakavu wa mitambo...je huo mradi una ufanisi kiasi cha kuweza kuzalisha nishati ya kukidhi familia yake au mtaa wake...kibiashara huwezi kutoa mkopo hapo...
 
Hili wazo si jipya kwenye ulimwengu wa science. Unaweza kuzalisha mafuta (diesel/petrol) kwa kutumia taka za plastic au mafuta ya kula/oil iliyokwisha tumika.

Changamoto iliyopo kwenye hivi bunifu ni commercial viability ya project husika. Kwa huyu mdau anaezalisha mafuta toka kwenye plastic. Changamoto kubwa iliyopo si hatua za kisayansi, bali ni kwenye gharama za uzalishaji.

Utahitaji zaidi ya kilo ngapi za plastic ili kupata lita moja ya mafuta. Na kiwango cha nishati itakayotumika kuheat izi plastic mpaka kubadili iyo chemical composition ya plastic kuwa mafuta inaweza ikawa kubwa kuliko thamani ya mafuta yenyewe uliyoyazalisha.

Huku mtaani sasa petroli ya mwarabu ni 3200. Na hapo kuna kodi nyingi sana za serikali zimewekwa. Bila kodi bei ya petrol ni karibu 1800 kwa lita mpaka hapo bandarini.

Sasa mtaalam atuambie, anauwezo wa kuzalisha petrol na kuiuza kwa 1,800 kwa lita na akapata faida? Tuassume serikali imekubali kutomcharge kodi yoyote. Changamoto ya huu ubunifu uko hapo.

So siwashangai maafisa wa serikali walivyomshauri aachane na haya mawazo, aslong as huwezi kucommercialize your project, utabaki kuwa project ya maonesho sabasaba au ya kula pesa za grants kwa wadau walio sensitive na issues za mazingira. Ila soko litakutoa tu mchezoni.
 
Aendelee na project yake bila kuwategemea bila matarajio ya kusaidia na serekali. Akinawiri zaidi watamtafuta wao naye ndo atakuwa mwamuzi wa bei yake.
Suala sio ujamaa, Mbona nchi ya Kiujamaa kama CHINA imepiga hatua kubwa ya kimaendeleo kiasi kwamba imezishinda Nchi za kibepari na sasa inashindana na Bepari Mmarekani. Kwani Uganda imetushinda nini na ubepari wake, Kenya kama ni maendeleo basi imetupita kidogo.... Ishu hapa ni sera za serikali, Serikali bado inaamini kwenye Kilimo na Siasa, inashindwa kwenda na matakwa ya Dunia ya Teknolojia. Wazee ni wengi serikalini hawana Exposure ya Teknolojia. Ukipeleka wazo ukulima wanakupigia makofi, ukipeleka wazo la ubunifu wa Teknolojia wanakuona Tapeli. Ndio maana hapa bongo sekta yenye mafanikio ni kilimo tu, serikali kila siku inajigamba tumeuza Sijui mahindi nchi jirani, lakini uwezi kusikia wanajigamba kuhusu Teknolojia waliouza. Viwanda vya nguo Kama urafiki na Mwatex vinajifia tu
 
Hili wazo si jipya kwenye ulimwengu wa science. Unaweza kuzalisha mafuta (diesel/petrol) kwa kutumia taka za plastic au mafuta ya kula/oil iliyokwisha tumika.

Changamoto iliyopo kwenye hivi bunifu ni commercial viability ya project husika. Kwa huyu mdau anaezalisha mafuta toka kwenye plastic. Changamoto kubwa iliyopo si hatua za kisayansi, bali ni kwenye gharama za uzalishaji.

Utahitaji zaidi ya kilo 20 za plastic ili kupata lita moja ya mafuta. Na kiwango cha nishati itakayotumika kuheat izi plastic mpaka kubadili iyo chemical composition ya plastic kuwa mafuta inaweza ikawa kubwa kuliko thamani ya mafuta yenyewe uliyoyazalisha.

Huku mtaani sasa petroli ya mwarabu ni 3200. Na hapo kuna kodi nyingi sana za serikali zimewekwa. Bila kodi bei ya petrol ni karibu 1800 kwa lita mpaka hapo bandarini.

Sasa mtaalam atuambie, anauwezo wa kuzalisha petrol na kuiuza kwa 1,800 kwa lita na akapata faida? Tuassume serikali imekubali kutomcharge kodi yoyote. Changamoto ya huu ubunifu uko hapo.

So siwashangai maafisa wa serikali walivyomshauri aachane na haya mawazo, aslong as huwezi kucommercialize your project, utabaki kuwa project ya maonesho sabasaba. Ila soko litakutoa tu mchezoni.
Ukiwa unaanzisha biashara usitegemee faida ya papo hapo... Biashara kubwa nyingi mwanzoni uanza kwa kupata athara au bila faida yoyote huku ikijikita kutafuta masoko, lakini ikiitika faida yake ni kubwa sana, Sasa wewe unataka mtu aanze tu biashara na apate faida hapo hapo, hiyo project sio umachinga au uuzaji nafaka huo ni ubunifu.... Duniani kote wabunifu wa Teknolojia wangekuwa na mawazo kama hayo ya kutizama athara za muda mfupi kuliko faida ya muda mrefu hapo badae basi Ubunifu usingekuwa unafanyika... China waliwezaje hadi kufika hatua hiyo waliyofikia ya uzalishaji wa Petrol kwa kutumia takataka za plastiki... Vijana kama nyie ndio athara kwa taifa, mnarudisha nyuma taifa kwa sababu amchangii kwenye uzalishaji ila mnawakatisha moyo wanaotaka kuzalisha...
 
tz hakuna fungu la kufund research.... mikopo ni ya kibiashara wala hakuna investment bank ukikopa leo mwisho wa mwezi au kesho uanze kulipa...(business loan)ana takiwa akomae azalishe mpaka demand izid supply uone kama benki hazitampa mtaji tena zitamfuata... bado yupo kwenye reseacha hajui taka kiasi gani zinazalisha petrol au deseli lita moja au gas lita moja...kwa halii hii unaweza kuta taka za sh 10k zinazalisha lita moja ya mafuta au kilo moja ya gas....bado kuna ghrama za uzalishaji na uchakavu wa mitambo...je huo mradi una ufanisi kiasi cha kuweza kuzalisha nishati ya kukidhi familia yake au mtaa wake...kibiashara huwezi kutoa mkopo hapo...
Umesikiliza Interview ya huyo kijana lakini?... Yeye tayari alishafanya research na ukisikiliza vizuri anakupa hadi takwimu za uzalishaji... sasa wewe unatoa maoni na kuhukumu bila kusikiliza au kujua amefanya nini mpaka kufika hapo na Kapuya hatua gani. Hata hakimu mahakamani kabla hajatoa hukumu anasikiliza kesi na kujilisha... Hayo inayoelezea kijana kashayafanya na anayefahamu.
 
Serikali ya CCM ipo busy kuiba mafuta kama vile vibaka wanavyofanya pale gari la mafuta lipatapo ajali,hawawezi kuwa na muda na mambo muhimu kama hayo 😁😁😁
 
Kijana huyu aliweza kubuni mtambo mdogo wa uzalishaji Petrol, Dizeli, Home Cooking Gas, Kerosene nakadharika kwa kutumia takataka za plastiki. Yani plastiki zinachomwa na kisha kugeuzwa kuwa Petroli hii ya kuendeshea magari, ambayo leo hii tunaangalia nayo kuwa imepanda bei.

Mkuu sio kwamba kabuni, mitambo kama hiyo ipo na watu wa mbele huko haswa nchi za Asia ya kati na kusini wanafanya, wapo pia wanaotengeneza diesel tokea kwenye mafuta ya mimea na hata masalia ya mafuta baada ya kukaanga vyakula, jaribu kufanya research youtube...

Anyway ukiacha hilo, serikali yetu haijawekeza kwenye R&D, na hii ni moja ya sababu inayozuia nchi nyingi za Kiafrika kukwama kimaendeleo...

Nchi inayotaka kujisogeza mbele kimaendeleo, inapaswa kuwekeza mno kwenye tafiti...
 
Inasikitisha sana Nchi kama Tanzania inakuwa kikwazo cha ndoto za vijana wengi walioamua kuwa wagunduzi, wabunifu na waboreshaji wa vitu mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Kwenye majukwaa ya kisiasa, mitandao, kwenye TV na Radio. Utasikia serikali inasema tunainua vijana walio wabunifu, sijui tunawasaidia na maneno ya kuvutia rukuki, ila kiuhalisia hao hao watu wa serikali ndio wanawakwamisha hawa vijana na kuua ndoto zao.

Juzi kati kipindi cha radio Power Breakfast cha Clouds FM walienda Dodoma ambapo walimfanyia mahojiano kijana wa kitanzania ambaye kitaaluma yeye ni Engineer wa mazingira (Environmental Engineer).

Kijana huyu aliweza kubuni mtambo mdogo wa uzalishaji Petrol, Dizeli, Home Cooking Gas, Kerosene nakadharika kwa kutumia takataka za plastiki. Yani plastiki zinachomwa na kisha kugeuzwa kuwa Petroli hii ya kuendeshea magari, ambayo leo hii tunaangalia nayo kuwa imepanda bei.

Cha kushangaza ni namna ambavyo kijana huyu aliamua kwenda kwenye ofisi za Serikali hapo Dodoma kuomba hile milioni 50 kama mkopo wa vijana ili aendeleze project yake hiyo na azalishe petroli, dizeli, gas, na Kerosene ya kutosha kwa ajili ya matumizi ya taifa lake. Lakini alivyofika kwenye hizo ofisi akakatishwa tamaa na afisa wa serikali kuwa ni bora aachane na hiyo project, ajikite kwenye Kilimo. Yani aachane na uzalishaji wa Petrol na product zingine zinazoambatana na petrol aamie kwenye Kilimo ambacho kila mtu anafanya. Sasa kwa hiyo taifa zima tuwe walimaji?. Lakini kuna afisa mwingine aliyekuwa pembeni akisikiliza akatoka na kumwambia kuwa kijana hiyo project ni nzuri na usiiiche hata kama umekosa pesa jitahidi ukomae nayo, usikatishwe tamaa. Kijana akatoka hapo akarudi nyumbani.

Leo hii nchi kama China inapiga hatua ya maendeleo kwa kuwekeza nguvu kwa vijana wabunifu. Ndio maana bidhaa nyingi hasa za kiteknolojia nyingi zinatoka China. Ukisikiliza mahojiano ya huyo kijana anasema moja kwa moja kuwa China inatengeneza Petrol kwa kutumia mfumo huu ambao yeye pia ameugundua. China ni mnunuzi mkubwa wa Takataka za plastiki Duniani kote kwa ajili ya kubuni na kutengeneza vitu mbalimbali ikiwemo petrol hizi tunazolia nazo leo zimepanda Bei.

Alafu wanakuja watumishi wa serikali wanakwambia achana nayo, nenda ukalime. Sasa serikali yetu inataka kila mtu afanye kazi ya Siasa na Kilimo. Yani wote tuwe wafuasi wa vyama vya siasa na wakulima. Mwisho wa siku hawa vijana ndio wanarundikana kwenye Siasa na mashambani, huku Taifa likishindwa kuzalisha kina Elon Musk wapya.

Masoud Kipanya anaonekana kuonyesha nia ya kutaka kumsaidia kijana huyu, kwa sababu Masoud Kipanya naye ni mbunifu wa magari ya umeme, naye amewahi kukwamishwa sana na watu kwenye project yake ya magari ya umeme. Kwa sababu anayajua machungu, ameamua kuonyesha nia ya kumsaidia kijana huyu ili ndoto isonge.

Tizama maelezo kwenye video hii hapo chini, unaweza kusogeza mbele kuepusha matangazo ya kipindi.

View: https://www.youtube.com/live/6Iyn83XI7lw?si=WcHfkyUD1GvFS21K

Hii nchi kuna masokwe wengi wapo kwenye ofisi za umma.
 
Uchawa unalipa zaidi ya ubunifu.
 
Msitusumbimue, wewe, serikali, huyo Kijana na Masoud.
 
Mkuu sio kwamba kabuni, mitambo kama hiyo ipo na watu wa mbele huko haswa nchi za Asia ya kati na kusini wanafanya, wapo pia wanaotengeneza diesel tokea kwenye mafuta ya mimea na hata masalia ya mafuta baada ya kukaanga vyakula, jaribu kufanya research youtube...

Anyway ukiacha hilo, serikali yetu haijawekeza kwenye R&D, na hii ni moja ya sababu inayozuia nchi nyingi za Kiafrika kukwama kimaendeleo...

Nchi inayotaka kujisogeza mbele kimaendeleo, inapaswa kuwekeza mno kwenye tafiti...
Mkuu umeongea vizuri sana ni nina kubaliana na wewe... Ila tofautisha ubunifu na ugunduzi... Ubunifu unaweza kufanana duniani kote, ila ugunduzi hawezi kufanana.... Naona hapo umechanganywa kidogo nahisi ulitaka kumaanisha mgunduzi ila huyu kijana ni mbunifu na sio mgunduzi.
 
Back
Top Bottom