Wadau Naomba Msaada: Browser ya Google Chrome inaji-start yenyewe nifanyeje?

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,984
2,000
Habari ya majukumu wadau wa JamiiForums.

Hivi karibuni App ya Google Chrome imekuwa ikijifungua tabs za matangazo bila mimi kuigusa.

Mfano: Ninaweza kuwa nipo YouTube halafu ghafla Google Chrome inajifungua na kudisplay matangazo.

Naombeni kujua ni namna gani naweza kuizuia isiwe inaji-start yenyewe?.

Natanguliza shukrani
 
Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,583

Naomba kujua unaitumia kupitia Computer au mobile phone?

Kama ni katika Computer basi nakushuri uiwekee Extension ya uBlock Origin itakusaidia kuzuia matangazo hayo.

Kama ni kwenye simu basi jizoeshe kuswitch na uhamie Firefox | Firefox Focus au DuckDuckGo

Asante
 
Zabron Hamis

Verified Member
Dec 19, 2016
3,495
2,000
Uninstall hiyo chrome na ufute extension zote kisha uinstall upya, tatizo litaisha. Likizidi sana, reset simu
 
GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,984
2,000
Naomba kujua unaitumia kupitia Computer au mobile phone?

Kama ni katika Computer basi nakushuri uiwekee Extension ya uBlock Origin itakusaidia kuzuia matangazo hayo.

Kama ni kwenye simu basi jizoeshe kuswitch na uhamie Firefox | Firefox Focus au DuckDuckGo

Asante
Ahsante mdau
 
Zabron Hamis

Verified Member
Dec 19, 2016
3,495
2,000
Block adds na cookies
Kama ni simu, tumia brave, computer tumia Opera Gx
Kwauzoefu wangu labda na wadau wengine watasaidia. Hili tatizo husababishwa na baadhi ya application au sites fulani ambapo unaweza kuwa unataka kudownload kitu kwa browser na wao wanaingilia kwanjia ya ads, unadownload ukijua unadownload kitu fulani au unaingia site fulani, kumbe wao wanakudirect kwenye hizo scammed sites na ukishafungua tu haraka huinstall extension ambayo inakuwa automatically open kila baada ya muda fulani. Dawa hapo huwa niku uninstall browser husika na kuclear data zote kwenye system kisha unaanza upya. Ni mbaya sana kuliko hata virus na wengine huinstall viruses bila kujua.
 
sjosh4

JF-Expert Member
Apr 10, 2020
903
1,000

Ya hiyo kweli, ndo maana inabidi ainable add blocker, disable cookies, ila mara nyingi zile extensions labda kama mwenyewe alikubali, aende akazidisable na kuzi unstall. Pia aklie cache na history
 
Nashukuru sana mkuu but naomba unielekeze ni namna gan naweza ku unistall apps ambayo iliwekwa na manufacturer? Nimekuwa nikijaribu kuitoa but hakuna option ya unistall. Pia nimejaribu kui disable na kuweka browsing app nyingine but nayo inaendelea hivohvo. Mfano nikiwasha data then nikawa naperuzi hapa jf gafla app niliyoweka inajifungua tab moja yenye matangazo. Mpaka sasa nimeweka apps zaid ya tatu lakini mchezo ni huohuo. Nashindwa nifanyaje.
 
Ahsante mkuu. Naenable vipi hiyo ads blocker
 
Kuhusu kuondoa app ya system mpaka uwe mjuzi maana hapo kuna kitu kinaitwa ROOTING. Kwakuwa wewe sio mzoefu na hizi mambo, naomba tu uinstall ads block au ufanye factory reset. Ilinilazimu kupiga windows upya.
 
GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,984
2,000
Nawashukuruni sana wadau mlionipa mawazo yenu. Nimefanikisha. Mbarikiwe sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom