Wadau mnaishije na ndugu?

Mtu kukusaidia haomaniish yeye ndo Yuko sahihi na ukifanyiamtu wema haimaniishi akulipe Kwa namna wewe unavotaka hapana hata hisani ndogondogo ni kumuonesha wema pia na yeye anafamilia aangalie na familia yake
 
Wewe kaka yako unamchukulia kama mtoto wako piga chini fanya mambo yako
 
Fanya mambo yako dogo huyo kaka yako hatakufa,mimi mwenyewe Nina juta kupata kazi ndugu familia za kiafrika hazina maana
Ukipata kazi utasema ndio wameambiwa wew ndio unamishahara ya wataanzania wote
 
piga chini huyo bro wako mwehu...
 
Hao ndo wanamfaa atayaogopa madeni maishayake yote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wale walivyo sio lazima aajiriwe. Awaoneshe tu vitu vya ndan anavyomiliki bas hata kama hawajui hela unaenda kufanyia nn wanakupa tu
 
Hahahaha pole sana mkuu, maisha yana mengi ya kujifunza ndo hivyo
 
Ushauri wako ni nzuri lkn kama umemsoma wazazi wake walitangulia mapema, huyo kaka yake ndie alibeba nafasi ya baba yake, mwache amsaidie kiasi anavyoweza.
 
Jali familia yako usiwaonee aibu ukiporomoka utaona wanavyobadilika usimuogope mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…