Wadau mnaishije na ndugu?

Jamaa unasikitisha sana yaani kwa msoto uliopitia na hukuonesha hata mchango wowote kutoka kwa kaka yako bado unaendekeza upumbavu sijui wa kukopea mtu may be labda kuna sehemu alikupiga tafu sana unatuficha.
Kaka yangu anajua mchango wangu kwake hebu rudia kusoma
 
Usiogope lawama otherwise ndio anguko lako. Kuna wakati unatakiwa kutambua kipato chako na uishi nacho.bora wewe ni kaka yako ila Mimi ni baba yangu mzazi mwenye hizo tabia lakini nampuuza ili nihudumie watoto wangu
 
Siwezi mkuu hata dar walikuwa wananiuliza huyo mwanamke umemtoa wapi
 
Siwezi kabisa
 
Wewe ndio hujaelewa kwenye story yako ulichangiwa pesa ya nauli na mama mkwe kaka yako huyo alikuwa wapi
Alikuwepo sema baada ya kumaliza chuo akasema mchango wake umeishia hapo
 
Kwanza hakikisha mke wako na watoto wako ndio kipaumbele maishani mwako,Kaka asikutishee mpe msaada mdogo mdogo ila punguza connection nae kubwa bila vita. We mwenyewee ushachelewa maisha,umaskini ni mbaya sana la sivyo wanao watakuja teseka kama wewe pole sana mjuba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ