Wadau mnaishije na ndugu?

Hata kama ni chai ila nimetoka na kitu ..
 
ACHA KUENDEKEZA NDUGU KIASI CHA KUJIUA MWENYEWE.
 
Oya uyo shemu kama anamdogo wake nipasi kiongozi inaonekana wamelelewa kua wake. Na sio awa tulio nao uku mjini ni majini watu full.
Kwa sasa kula MAISHA na shemela.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Hongera kijana,ulipomtaja zablon nimekufahamu
 
Mateso yote uliyopitia na ukavuka, unashindwa vipi kuvuka kitu kidogo km hiko?

Huyo Kaka yako unamuendekeza mwambie umechukua mkopo na wewe una biashara zako. Km na yeye anataka akakope Nmb kwa jina lake si ana assets..!!
 
Tukope twende china tukirudi tusimamgwe na wana jf 😂😂
 
Katika hilo wala hakuna mjadala, hata hapa umekuja kutusumbua tu! Mwambie hiyo kitu haipo mwambie sasa hivi mshahara wako siyo himilivu yaani hukopesheki!
 
Kweli kabisa,ukipata mwenza mzuri walau unafarajika hata unapo kutana na magumu

Si unaona baada ya kukosa ajira ya kwanza,wife alimpa moyo,sasa wangekuwa hawa akina mwajuma ndala ndefu au fetty wa mikoroshini (Evelyn Salt ) utajua haujui
Ka Evelyn Salt hako ni kadangaji maarufu hapa mjini!
 
yaan unamchukuliaje mtu mkopo? kwanza analipa? alafu hio sio principle of finance kumchukulia mtu mkopo achana nae kabsa. msaodie kivingine ila sio mkopo
 
Mpambanaji💪🏽
Hakika jamaa nimependa kujisurubisha kwake. Haina kujionea huruma. Sema na mwanamke nae alimpata , mwanamke wa namna hiyo kiukweli ni baraka straight toka kwa Mungu haina mjadala. Huyo mama siku ukimtenda ukamzimgua hapo lazima Sir God mwenyewe akushughulikie ipasavyo, yan hiyo kazi ya kukunyoosha hatumi malaika wala shetani, ataifanya mwenyewe 😂😂
 
Pole kwa changamoto, mwalimu mbona una hati mbaya sana? Watoto unawafundisha nini huko shuleni?
Acha usengee Asa we hati Yako nzurii itakupeleka mbinguni,ujuaji wa kifala.Mtu anachangamoto wee unacoment kishoga😏
 
Jamaa unasikitisha sana yaani kwa msoto uliopitia na hukuonesha hata mchango wowote kutoka kwa kaka yako bado unaendekeza upumbavu sijui wa kukopea mtu may be labda kuna sehemu alikupiga tafu sana unatuficha.
 
Oya uyo shemu kama anamdogo wake nipasi kiongozi inaonekana wamelelewa kua wake. Na sio awa tulio nao uku mjini ni majini watu full.
Kwa sasa kula MAISHA na shemela.
KAZI ni kipimo cha utu
Yeye ni wa mwisho kuzaliwa
 
Jamaa unasikitisha sana yaani kwa msoto uliopitia na hukuonesha hata mchango wowote kutoka kwa kaka yako bado unaendekeza upumbavu sijui wa kukopea mtu may be labda kuna sehemu alikupiga tafu sana unatuficha.
Huo ndio ukweli kiongozi diwezi kudanganya
 
Askari uwa hashindwi jambo ,embu simama jisimamie mike usiogope habari za ndugu wapuuuzi kama huyo kaka yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…