Wadau Idadi ya aliowaua Clement Mabina ni 4

By hair

Senior Member
Sep 6, 2013
141
0
Habari zilizozagaa toka tupate habari hii,ni kwamba mabina alimua mtoto mmoja,na yeye kushambuliwa na wananchi hadi kifo chake,lakini ukweli ni kwamba aliua watu watatu pale pale,mtoto alienda kufika hospital .
 
mnyikungu

JF-Expert Member
Jul 26, 2009
1,938
2,000
Aisee, inaonekana huyu mtu alikuwa hapendwi huko...haiwezekani watu wasiogope risasi...richa ya watu kufa lakini bado walipambana naye bila woga....ama kweli malipo huwa hapahapa duniani
 
kitali

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,355
2,000
Hii ishu inasikistisha sana

Kama ni kweli, basi adhabu aliyopata alistahili.

kama hayo unayosema moyon ni ya kwel bac ungekuwa wa kwanza kuipumzisha CCM. Coz laiti ungekuwa umeitembea Tz nzima ukaona watu wanavyokufa kwa huduma za lazma kabisa ambazo zipo ndan ya uwezo wa serikal kuwapa ucngewapa kura kamwe.
 
funza

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
7,475
2,000
Habari zilizozagaa toka tupate habari hii,ni kwamba mabina alimua mtoto mmoja,na yeye kushambuliwa na wananchi hadi kifo chake,lakini ukweli ni kwamba aliua watu watatu pale pale,mtoto alienda kufika hospital .
Swali je ? Mabina alikuwa na nani wakati wa tukio?hakuwa na wapambe ?
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
1,195
Kesho ibada itaendeshwaje ? Maneno gani yatatumika.

Nasubiri itifaki itakayotumika hapo kesho.
 
Chris Lukosi

Verified Member
Aug 23, 2012
4,584
2,000
kama hayo unayosema moyon ni ya kwel bac ungekuwa wa kwanza kuipumzisha CCM. Coz laiti ungekuwa umeitembea Tz nzima ukaona watu wanavyokufa kwa huduma za lazma kabisa ambazo zipo ndan ya uwezo wa serikal kuwapa ucngewapa kura kamwe.
Wee mbulumundu hiyo kesi inahusiana vipi na siasa?
 
Ba E's

Senior Member
Aug 20, 2013
145
170
Hii ishu inasikistisha sana

Kama ni kweli, basi adhabu aliyopata alistahili.

Kumbe kuna nyakati na nyinyi wanaccm huwa mnahuruma, nadhani hii ndo comment yako ya kwanza kuonyesha huruma na kumponda mccm mwenzako, tukiwa wote na lengo moja la ubinadam kwanza tutahurumia hata wenzetu wanaouawa na policcm kwny mikutano ya wapinzani, hongera kwa kuguswa na mauaji ya mtu/watu waso na hatia.
 
Rose M

Senior Member
Oct 3, 2013
129
225
Hii ishu inasikistisha sana

Kama ni kweli, basi adhabu aliyopata alistahili.

Yaani Chris Lukosi kuna siku unaamka vizuri.. Ifike sehemu tuwatetee wa-Tanzania..kweli hali kiuchumi siyo nzuri..Tutakuja kukabiliana na makubwa kuliko haya kama hatua za maksudi hazita chukuliwa..pamoja na kuiondoa CCM madarakani..

Wa-Tanzania wana sifa ya uvumilivu..Lakini kama imefika hatua wameshidwa kuvumilia...kweli Chris amini hali ni mbaya..
 
Last edited by a moderator:

Matango

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
515
225
Hakuna ukweli wa hizo tetesi za kuuawakwa watu wengine zaidi ya mtoto, wanakijiji wa Kanyama wanazo taarifa zote, ilikuwa mchana kweupe, hadharani.Vinginevyo mtoa uzi athibitishe anayosema.
 
Msovy

Member
Oct 10, 2013
21
45
Yeah nasubiri leseni ya hii biashara ya rambi rambi manake naona inalipa sana, si unaona msigwa shavu hilo!
Mkubwa Lukosi!
Leo naona uko 'vizuri' ebu tueleze ukweli kuhusu ile rambi-rambi, nasikia uko ulichangisha £12,500/ lakini amount uliyo wasilisha ilikuwa ni 'kiduchu' ebu leo weka sawa mahesabu ya ile rambi-rambi iliyo wasilisha Iringa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom