Wadau Idadi ya aliowaua Clement Mabina ni 4

Wadau Idadi ya aliowaua Clement Mabina ni 4

Hii ishu inasikistisha sana

Kama ni kweli, basi adhabu aliyopata alistahili.
Chris lukosi. .ukisikiya jina la Mrs mwangosi una ogopa kama kituo cha police.

Hivi ulienda kukutana na yule jamaa aliye kuambiya mkutane nyumbani kwa Mrs mwangosi? ??
 
Hata wewe unaunga mkono watu kujichukulia sharia mkononi? Nadhani kama ni kuwapiga CCM mawe kwa jinsi wanavyotukera sisi wananchi basi CCM wote wangestahili kupigwa mawe - hata wewe isingeepuka kipigo. Busara zetu ndizo zinatufanya tunaishi na ninyi kwa aamani. Kwa hiyo usitetee uvunjifu wa sharia, na wewe utakumbwa.
 
Yani lukosi ndio kiboko yenu mbona hamueleweki nyie bavicha?
 
Hii ishu inasikistisha sana

Kama ni kweli, basi adhabu aliyopata alistahili.

Lukosi, na wewe unaunga mkono mob-justice?? Umesikia yaliyotokea Ulanga Morogoro? Ni kweli Mabina alikosea, lakini si vyema kupongeza kilichotokea.
 
Kwa aibu kabisa leo saa kumi na mbili ccm pamoja na familia wamefika hospitali ya rufaa BMC kuuchukua mwili na ilipotimia mida ya saa moja na dakika ishirini asubuhi tayari msafara uliondoka eneo la hospitali, nadhani hawakutaka waonekane mjini kwa aibu ya tukio alilofanya huyo mzee.
 
Chris Lukosi Uengereza yote walichanga 1,000,000/= tu, Looh!! wewe musanii sana.
 
Last edited by a moderator:
Lukosi, na wewe unaunga mkono mob-justice?? Umesikia yaliyotokea Ulanga Morogoro? Ni kweli Mabina alikosea, lakini si vyema kupongeza kilichotokea.
Tena kama risasi zilimwishia ulitegemea nini?Ubabe dhidi ya wananchi umemponza.
 
ONYO KWA WALIO NJE YA NCHI - LUKOSI haruhusiwi KUKUSANYA RAMBIRAMBI ZA MABINA , HAAMINIKI . CC - BBC , ALJAZEERA , SKY , CNN .
 
Back
Top Bottom