Wadau, hivi mwenendo wa soko la ajira la Tanzania mnauonaje?

Kiufupi ni kwamba ajira zilizopo ni chache na hii ni effect ya sekta binafsi kudumazwa kwa sera mbovu za serikali ya ccm , sekta binafsi ndio muajiri mkuu ,hii ikiyumba , resonating effects zake ni kubwa na ndio kinachotokea
 
Inabidi watu tujiongeze tu na kubuni vimiradi vya kusogeza siku mbele maana hata huku kwenye kujiajiri mazingira ni mabovu nchi hii
Utakutana na rungu la TRA na ukiritimba wa mamlaka nyingine huko utajuta
 
Kabisa.mazingira mabovu ya kujiajiri kwenye uo mtaji ambao unao TRA wanataka kabla ujaanza mradi😙😙
 
Mwaka wa 4 toka nimemaliza chuo bado nipo kitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…