Wadada, ya kweli haya?

Wadada, ya kweli haya?

Hii tabia hasa huku mitandaoni ya kuponda wanaume na wanawake mie inanikera na sasa inaanza kuwa chanzo kikubwa cha kuvuruga mahusiano. Ni kweli mahusiano yana majaribu mengi sana, lakini wengi pia wanafanikiwa pamoja na hizo challenges chungu nzima zilizokuwepo.
Usichukie haya tunayozungumza hapa ndo tunayozungumza huku mtaani, sema tu hujabahatika kukumbana nayo huko mtaani sababu kwenye vijiwe najua hukai
 
kumbuka wapo walio fanikiwa kuwapata wanawake ambao wanajua wanaume wanacho kitafuta na wakawaonyesha, wanawake kama hao ni wachache sana . wanawake wengi wanapoteza muda kuwaonyesha wanaume mazagazaga ambayo hata hayahitajiki, mwisho wanaishia kuwalaumu wanaume kwamba hawaeleweki.
Shida ni raha tu za mapenzi, tatizo midemu mijeuri sana sikuhizi. Ujuaji mwingi lazma nkuteme tu hata uwe na kipira kama nati!
 
Kwan wanaume wanatupatia vyote tunavyohitaji kupewa sisi wanawake,si bas tu tunawavumilia..mjifunze tu kuwa na shukran
sasa mie mbona sipati wa kunivumilia au kisa sina mamlaka nn
 
Hakuna binadam asiyeridhika kama mwanaume yaan hata awe na wake watano lazima atakuwa na michepuko saba kidogo
haaa wewe mama unakosea kwa kuwaza hivi, wapo wazee wa kuridhika ila demu ukimuonesha umeridhika nae kwa kila hali janga linaanzia hapo. full zereu! Na ndio maana lazma kuwe na vyama vingi vya upinzani!
 
Akifanya utakavyo pia utamuona zuzu
Hakuna mtu anatakiwa kufanya atakavyo mtu mwingine huo ni utumwa. Mkishajuana kile mwingine apendi mtaishi kwa amani sana sio mwanamke tu ndo afanye mambo meeengiii ili tu amfaidishe mwanaume hapana. Mapenzi na ya wawili hvyo inahitaji mchango wa pande zote mbili ili wafike pale wanataka.
 
Laiti wanawake wote wangekuwa waelewa katika hilo duniani pangekuwa kama peponi. nadhani katika 100 ni wawili tu ndio wanaweza fit. Wengine tukiwaonesha full love na kuwasikiliza tunaonekana ma pimbi tu!
 
Hata nyie pia mnatakiwa kuwa waelewa sio tu wanawake. Tatizo mnategemea sana mwanamke ndio awe perfect kwenye mahusiano mnafail sana hapo
 
Mwanaume mwenye gubu yupoje yani? Pengine siijui tafsiri vyema
Huna utakalofanyiwa na mwanamke ukaliona ni jema,ukikuta meza ina vumbi kidogo utasema,ukikuta imesafishwa pia utasema
(Mfano) mmnh leo naona ulikuwa na mgeni rasmi naona nyumba safiii,...yan huna jema kila kitu kwako ni vijimaneno tu...hilo ndo GUBU
 
Back
Top Bottom