Wadada, ya kweli haya?

Wadada, ya kweli haya?

nadhani kuna kitu mnakosea.
Wanaume wachache sana wamepata kitu ambacho wanaume wengi wametafuta kwa miaka mingi kwenye msitu huu wa wanawake na hawajawahi kupata, wengine hata sasa hawajui kinafananiaje wanacho kitafuta.

Wanaume kupata wanacho kitafuta ni zaidi ya kutafuta X kwenye algebra.

wanaume wote wanaamini wanacho kitafuta kipo kwa kila mwanamke, cha ajabu wakisha wapata hao wanawake hawakikuti wanacho kitafuta.

Wanawake wachache sana wanajua kuwaonyesha wanaume kile wanatafuta, shida IPO kuwatafuta hao wanawake wenye kipaji hicho.
Hujataja wanaume wanatfta nini
 
Kumuonyesha mwanaume anachokitaka haitoshi ni yeye mwanaume aamue kukiona anachokitafuta kwa mwanamke fulani
 
nadhani kuna kitu mnakosea.
Wanaume wachache sana wamepata kitu ambacho wanaume wengi wametafuta kwa miaka mingi kwenye msitu huu wa wanawake na hawajawahi kupata, wengine hata sasa hawajui kinafananiaje wanacho kitafuta.

Wanaume kupata wanacho kitafuta ni zaidi ya kutafuta X kwenye algebra.

wanaume wote wanaamini wanacho kitafuta kipo kwa kila mwanamke, cha ajabu wakisha wapata hao wanawake hawakikuti wanacho kitafuta.

Wanawake wachache sana wanajua kuwaonyesha wanaume kile wanatafuta, shida IPO kuwatafuta hao wanawake wenye kipaji hicho.
Ngonjera
 
  • Thanks
Reactions: BAK
fd9ff795e6ef83a9bc22c8e67e122403.jpg
Hata mngekua kila mkitoka chooni tunawachamba bado mngesema tunawabakiza ma...
 
Back
Top Bottom