Wadada, ya kweli haya?

Wadada, ya kweli haya?

Inategemea ila mlio wengi hata mkidekezwa kudeka kwenyewe hamkujui.
Kuna nyanja nyingi za kudeka, kuanzia kwenye kula, kulala, kuugua, kitandani nk wakati pekee ambao mume hawezi kudeka wala kudekezwa ni wakati akiwa na mfadhaiko (stress) hasa unapotokana na kazi zinapomuendea vibaya, hapo inabidi mke awe muelewa kwelikweli, la sivyo ndoa itaingia tafrani. Otherwise, mume kwa mkewe ni kama mtoto kwa mamaake tu, lazima atataka kudeka kwa namna moja au nyingine, asipolipata hilo, mnh!
 
Kutafuta visingizio hakutatuwi tatizo. Na ukiona mtu anatafuta visingizio ujue anashindwa huo wajibu.
 
Back
Top Bottom