Yawezekana ukahis unamlea vzr mmeo kumbe bado kwa iyo anatafuta pa kupata extra care ambayo wewe humpi maana anajua akikwambia utaona haridhiki . akili Ku mkichwaNa bado wakipata wa kuwalea haridhiki atatafuta na mwingine

Ila nyie wanaume ndio mmeianza hiyo tabia na hakuna hata mmoja wenu ambaye huwa anaona mnatukosea na wengi wanafuata mkumbo ikitokea wa kwanza kaponda ujue hakuna atakayetetea.Hii tabia hasa huku mitandaoni ya kuponda wanaume na wanawake mie inanikera na sasa inaanza kuwa chanzo kikubwa cha kuvuruga mahusiano. Ni kweli mahusiano yana majaribu mengi sana, lakini wengi pia wanafanikiwa pamoja na hizo challenges chungu nzima zilizokuwepo.
Wanajifanya haiwahusu hiyo iko kwa mwanamke pekee kumbe sivyoKwan wanaume wanatupatia vyote tunavyohitaji kupewa sisi wanawake,si bas tu tunawavumilia..mjifunze tu kuwa na shukran
Haiwezi kutokea na hakuna wa hivyoNimecheka sana, muombe Mungu akupe anayejitambua ambae amelelewa akaleleka, hautopata taabu kufikiria kusaidiwa kumlea.
Yaani humu ule usemi wa akili ya mwenzio changanya na yako inahusika kwa asilimia kubwaTHANK YOU! Wapo wengi tu hawa hata wanawake pia lakini katika jamii yetu hasa huku mitandaoni huwezi kuwasikia hawa bali ni negativity tu.
Ila nyie wanaume ndio mmeianza hiyo tabia na hakuna hata mmoja wenu ambaye huwa anaona mnatukosea na wengi wanafuata mkumbo ikitokea wa kwanza kaponda ujue hakuna atakayetetea.
Leo kwa sababu ni nyie umeliona ni kosa hebu tuache tuwaambie kweli yenu
Yaani humu ule usemi wa akili ya mwenzio changanya na yako inahusika kwa asilimia kubwa
Kwahiyo kumbe hata mnachokitaka hamikijui!! Basi mkalelewe tu na ulemavu wenu.kumbuka wapo walio fanikiwa kuwapata wanawake ambao wanajua wanaume wanacho kitafuta na wakawaonyesha, wanawake kama hao ni wachache sana . wanawake wengi wanapoteza muda kuwaonyesha wanaume mazagazaga ambayo hata hayahitajiki, mwisho wanaishia kuwalaumu wanaume kwamba hawaeleweki.
Waaaii..nadhani kuna kitu mnakosea.
Wanaume wachache sana wamepata kitu ambacho wanaume wengi wametafuta kwa miaka mingi kwenye msitu huu wa wanawake na hawajawahi kupata, wengine hata sasa hawajui kinafananiaje wanacho kitafuta.
Wanaume kupata wanacho kitafuta ni zaidi ya kutafuta X kwenye algebra.
wanaume wote wanaamini wanacho kitafuta kipo kwa kila mwanamke, cha ajabu wakisha wapata hao wanawake hawakikuti wanacho kitafuta.
Wanawake wachache sana wanajua kuwaonyesha wanaume kile wanatafuta, shida IPO kuwatafuta hao wanawake wenye kipaji hicho.
Hapa ngoma inogile...Kwahiyo kumbe hata mnachokitaka hamikijui!! Basi mkalelewe tu na ulemavu wenu.
Hebu tupishe na weweYawezekana ukahis unamlea vzr mmeo kumbe bado kwa iyo anatafuta pa kupata extra care ambayo wewe humpi maana anajua akikwambia utaona haridhiki . akili Ku mkichwa
Hao ni wale wasiojiongezaBora hata ingekuwa hivyo kungekuwa na ahueni lakini baadhi wanayachukulia yaliyoandikwa humu kama ndiyo mwanzo mwisho.
mkuu vice versa is true hata kwetu men pia usipolea mkeo wenzio watakulelea
kama tungekua tunajua, msingehangaika kuwalea wanaumeKwahiyo kumbe hata mnachokitaka hamikijui!! Basi mkalelewe tu na ulemavu wenu.
nadhani kuna kitu mnakosea.
Wanaume wachache sana wamepata kitu ambacho wanaume wengi wametafuta kwa miaka mingi kwenye msitu huu wa wanawake na hawajawahi kupata, wengine hata sasa hawajui kinafananiaje wanacho kitafuta.
Wanaume kupata wanacho kitafuta ni zaidi ya kutafuta X kwenye algebra.
wanaume wote wanaamini wanacho kitafuta kipo kwa kila mwanamke, cha ajabu wakisha wapata hao wanawake hawakikuti wanacho kitafuta.
Wanawake wachache sana wanajua kuwaonyesha wanaume kile wanatafuta, shida IPO kuwatafuta hao wanawake wenye kipaji hicho.
Akifanya utakavyo pia utamuona zuzuWanaume wenyewe wanahurka ya kulelewa hovyo na kila mwanamke. Hata ubinuke, umvue viatu kila siku na kila kitu bado ataona anapungukiwa kitu fulani.
Mpododo, respect na upendo usio na masharti!Hahaha! Labda mnatafuta nini msichokipata kwa wanawake kuwa mkweli
Hebu tupishe na wewe