MITIMIKULU
Member
- Feb 22, 2017
- 24
- 15
Hahahahah.. Wacha wee..Walio wengi wameshindikana hata walelewe vipi bado watatafuta wa kuwalea tu.
Ni wache tena wakati ndio ukweli wenyeweHahahahah.. Wacha wee..
Na bado wakipata wa kuwalea haridhiki atatafuta na mwingineWalio wengi wameshindikana hata walelewe vipi bado watatafuta wa kuwalea tu.
Kwa ufupi hawajuagi wanataka nini kwa wanawake.Na bado wakipata wa kuwalea haridhiki atatafuta na mwingine
Naona umefungukaNi wache tena wakati ndio ukweli wenyewe
Naona umefungukaNi wache tena wakati ndio ukweli wenyewe
nadhani kuna kitu mnakosea.Kwa ufupi hawajuagi wanataka nini kwa wanawake.
Umeonaee! Hivyo wakae tu kimya ni hulka yao na haina dawaWanaume wenyewe wanahurka ya kulelewa hovyo na kila mwanamke. Hata ubinuke, umvue viatu kila siku na kila kitu bado ataona anapungukiwa kitu fulani.
Ndio kwenye ukweli lazima tufungukeNaona umefunguka
Hahaha! Labda mnatafuta nini msichokipata kwa wanawake kuwa mkwelinadhani kuna kitu mnakosea.
Wanaume wachache sana wamepata kitu ambacho wanaume wengi wametafuta kwa miaka mingi kwenye msitu huu wa wanawake na hawajawahi kupata, wengine hata sasa hawajui kinafananiaje wanacho kitafuta.
Wanaume kupata wanacho kitafuta ni zaidi ya kutafuta X kwenye algebra.
wanaume wote wanaamini wanacho kitafuta kipo kwa kila mwanamke, cha ajabu wakisha wapata hao wanawake hawakikuti wanacho kitafuta.
Wanawake wachache sana wanajua kuwaonyesha wanaume kile wanatafuta, shida IPO kuwatafuta hao wanawake wenye kipaji hicho.
Kwetu Kwamtogole.Utamaduni wa uswazi huo