Wadada, ya kweli haya?

Wadada, ya kweli haya?

nadhani kuna kitu mnakosea.
Wanaume wachache sana wamepata kitu ambacho wanaume wengi wametafuta kwa miaka mingi kwenye msitu huu wa wanawake na hawajawahi kupata, wengine hata sasa hawajui kinafananiaje wanacho kitafuta.

Wanaume kupata wanacho kitafuta ni zaidi ya kutafuta X kwenye algebra.

wanaume wote wanaamini wanacho kitafuta kipo kwa kila mwanamke, cha ajabu wakisha wapata hao wanawake hawakikuti wanacho kitafuta.

Wanawake wachache sana wanajua kuwaonyesha wanaume kile wanatafuta, shida IPO kuwatafuta hao wanawake wenye kipaji hicho.
Umegusa Nafsi yangu, Ahsante mkuu kwa Kueleza Ukweli.
 
Huna utakalofanyiwa na mwanamke ukaliona ni jema,ukikuta meza ina vumbi kidogo utasema,ukikuta imesafishwa pia utasema
(Mfano) mmnh leo naona ulikuwa na mgeni rasmi naona nyumba safiii,...yan huna jema kila kitu kwako ni vijimaneno tu...hilo ndo GUBU

Doh basi mi sina hizo kabisa, gubu langu mi ni LA over caring!
 
Hawa viumbe ni hatr sana, anaweza kuwa na wanawake wa4 wote anawafanyia unafki na hakuna hata mmoja anayegundua anaibiwa
Tatizo haijawahi faa kuwa na mwanamke mmoja.
Hata mkiwaga wapole kiasi gani mwanzoni Ila mkishajua kuwa mnapendwa na mpo pekeenu yani hamna mchepuko ndo zarau zinaanzaga hapo.
 
Umeona sasa kuna mke wa ndoa anayevikosa hivi ongea tu ukweli
Wapo wale wanaoona kumdekeza mume ni kama big deal sana! Hao ndio wahanga wakubwa wa nyumba ndogo. Kiuhalisia I'm so gentle Ila nishakutana na wanawake was hovyo kupata kusimulia ingawa mwanzoni huwa kunakuwaga Hanna shida. Mkizoeana tu shida!
 
Hahaaaaa!!! Yaani umenifanya nicheke kwa nguvu.
Ngoma inogile kweli kweli, waje tu kwakweli watoe na somo wawafundishe kujua wanataka nini!
Eee mwaya,mimi mahaba nibabue niliwaachiaga njiwa zamani.
 
Back
Top Bottom