Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
nyie tena? haaaIvi nyie mnajionaga mnatupatia kwa kila kitu, eti e
nyie tena? haaaIvi nyie mnajionaga mnatupatia kwa kila kitu, eti e
Yaa ni ukweli kabisa.... Kuna wanaume wamejaliwa kwel jaman..... Ukimuangalia unamtafutia kasoro gani aliyonayo hata huoni... Ila kuna wengine wapo kinyume kabisa ya hao.Utakuwa na tatizo la uelewa si kila mwanaume hajitambui au kuelewa anataka nini. Na ndiyo sababu kuna wanaume wengi na wanawake wanafurahia sana mahusiano yao au ndoa zao. Hii tabia ya kutaka kuwaweka wanaume/wanawake wote kwenye kapu moja ni tabia ya hovyo ya watu ambao wanaopenda kuonyesha negativity kwenye mahusiano wakati kuna wengi sana wanafurahia mahusiano yao miaka nenda miaka rudi na mifano hai iko chungu nzima.
Kwan wanaume wanatupatia vyote tunavyohitaji kupewa sisi wanawake,si bas tu tunawavumilia..mjifunze tu kuwa na shukrannadhani kuna kitu mnakosea.
Wanaume wachache sana wamepata kitu ambacho wanaume wengi wametafuta kwa miaka mingi kwenye msitu huu wa wanawake na hawajawahi kupata, wengine hata sasa hawajui kinafananiaje wanacho kitafuta.
Wanaume kupata wanacho kitafuta ni zaidi ya kutafuta X kwenye algebra.
wanaume wote wanaamini wanacho kitafuta kipo kwa kila mwanamke, cha ajabu wakisha wapata hao wanawake hawakikuti wanacho kitafuta.
Wanawake wachache sana wanajua kuwaonyesha wanaume kile wanatafuta, shida IPO kuwatafuta hao wanawake wenye kipaji hicho.
Tena hawana shukran kabisa wanapenda kunusanusa kama mbwa.Wanaume wenyewe wanahurka ya kulelewa hovyo na kila mwanamke. Hata ubinuke, umvue viatu kila siku na kila kitu bado ataona anapungukiwa kitu fulani.
Unaangaika nae wa nini ndo maana tunawaachaga tu kama yalivo..... Mtu yeye mwenyew hajui anachotaka we utajua kwel, akalelewe uko na ahame kabisa nyumbaSasa mi nitajuaje wakati wewe ndio umesema hamkipati mnachokitaka
Hamkijui mnachokitafuta Sisi tutakijuaje ndo mkione mnachokitafuta wenyeweutasubiri sana, unadhani wanaume wanajua wanacho kitafuta.. haaaa
Wao wenyewe hawajielewi wala hawajiamini ndio maana wanatangatanga.Unaangaika nae wa nini ndo maana tunawaachaga tu kama yalivo..... Mtu yeye mwenyew hajui anachotaka we utajua kwel, akalelewe uko na ahame kabisa nyumba
Wanamaudhi hawa mpaka shetani anawashangaa mamyHahahaaa! Kumbe una maneno mumy
Kwan wanaume wanatupatia vyote tunavyohitaji kupewa sisi wanawake,si bas tu tunawavumilia..mjifunze tu kuwa na shukran
Maneno kuntu hayoUnaangaika nae wa nini ndo maana tunawaachaga tu kama yalivo..... Mtu yeye mwenyew hajui anachotaka we utajua kwel, akalelewe uko na ahame kabisa nyumba
Yaa ni ukweli kabisa.... Kuna wanaume wamejaliwa kwel jaman..... Ukimuangalia unamtafutia kasoro gani aliyonayo hata huoni... Ila kuna wengine wapo kinyume kabisa ya hao.
Hamna mtu anaependa kuonekana mbaya machoni mwa watu, ukweli wanaujua wandani wao!!!Nina marafiki pia wa karibu, ndugu, jamaa, office mates ambao wako vizuri kwenye mahusiano yao. Sikurupuki kuandika haya
Nimecheka sana, muombe Mungu akupe anayejitambua ambae amelelewa akaleleka, hautopata taabu kufikiria kusaidiwa kumlea.Walio wengi wameshindikana hata walelewe vipi bado watatafuta wa kuwalea tu.
Eti BAK kaamua kuja kuwatetea. Walikuwa kimya sasa angalau watajileta kuja kukazia utetezi
Anajifanya anatosheka kumbe uongo mtupuAtawatetea sana tu lkn ukweli utabaki pale pale wanaume si watu wa kutosheka au kuridhika abadani asilan.