Wadada, ya kweli haya?

Wadada, ya kweli haya?

hiyo migume gume haifugiki mama angu utajishusha kwa kila kila kitu lazima atatoka nje kwahiyo akipatikana wa kumlea amlee tu
Hehehe
Hilo nalo neno, alelewe tu sio mwisho wa siku atarudisha kengele kwako
 
Baadhi ya wanaume si wanaume wote. Mbona juzi hapa kulikuwa na uzi wa jamaa aliyeamua kuishi na mrembo baada ya Baba yake kumkatalia kwa sababu tu si Mkurya mwenzie!? Anajitambua huyu na pia anajua anataka nini. Kuoza kwa samaki mmoja hakumaanishi samaki wote wameoza. Kutukana wakunga na uzazi ungalipo si kitu chema. Najua uko salama furahia weekend yako.

Baba yangu hataki nioe kabila tofauti na langu

Kwa ufupi hawajuagi wanataka nini kwa wanawake.
 
Baadhi ya wanaume si wanaume wote. Mbona juzi hapa kulikuwa na uzi wa jamaa aliyeamua kuishi na mrembo baada ya Baba yake kumkatalia kwa sababu tu si Mkurya mwenzie!? Anajitambua huyu na pia anajua anataka nini. Kuoza kwa samaki mmoja hakumaanishi samaki wote wameoza. Kutukana wakunga na uzazi ungalipo si kitu chema. Najua uko salama furahia weekend yako.

Baba yangu hataki nioe kabila tofauti na langu
Hahahaa! Umeamua kuja kuleta utetezi
 
Naona umekuja na ushahidi kabisaa, mkuu usiamini kila unachokisoma
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Utakuwa na tatizo la uelewa si kila mwanaume hajitambui au kuelewa anataka nini. Na ndiyo sababu kuna wanaume wengi na wanawake wanafurahia sana mahusiano yao au ndoa zao. Hii tabia ya kutaka kuwaweka wanaume/wanawake wote kwenye kapu moja ni tabia ya hovyo ya watu ambao wanaopenda kuonyesha negativity kwenye mahusiano wakati kuna wengi sana wanafurahia mahusiano yao miaka nenda miaka rudi na mifano hai iko chungu nzima.

Aliyesema wanaume baba yao na mmoja hakukosea kabisa.
 
Umesahau hawa wenzetu ni walemavu, kila kitu ni wa kufanyiwa, hadi wakitakacho sasa eti waonyeshwe!!!
kumbuka wapo walio fanikiwa kuwapata wanawake ambao wanajua wanaume wanacho kitafuta na wakawaonyesha, wanawake kama hao ni wachache sana . wanawake wengi wanapoteza muda kuwaonyesha wanaume mazagazaga ambayo hata hayahitajiki, mwisho wanaishia kuwalaumu wanaume kwamba hawaeleweki.
 
Nina marafiki pia wa karibu, ndugu, jamaa, office mates ambao wako vizuri kwenye mahusiano yao. Sikurupuki kuandika haya

Naona umekuja na ushahidi kabisaa, mkuu usiamini kila unachokisoma
 
kumbuka wapo walio fanikiwa kuwapata wanawake ambao wanajua wanaume wanacho kitafuta na wakawaonyesha, wanawake kama hao ni wachache sana . wanawake wengi wanapoteza muda kuwaonyesha wanaume mazagazaga ambayo hata hayahitajiki, mwisho wanaishia kuwalaumu wanaume kwamba hawaeleweki.
Ivi nyie mnajionaga mnatupatia kwa kila kitu, eti e
 
Back
Top Bottom