Wadada wenye 30+ wanatia huruma

Kuwachezea muwachezee halafu baadae mnaanza kuwachukia nyinyi haohao!






Nyinyi ndo karma huwa inawapenda sana! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
 
Nakumbuka mmoja alinitafta fb kwa kunitumia friend request nilivyo acept tu akaja mesenger na kuanza kunihoji utazani yeye ni askari mpelelezi, nilimjibu kwa usahihi kila alichouliza mwisho wa yote akaniuliza umri nikamjibu sahihi akasema sio mbaya, nikamuuliza sio mbaya nn akasema japo umri nimekupita lakini sio mbaya, nikamwambia kwan vip, akafunguja dah nilikosa pozi mana agenda yake mzigo hatoi mpaka afunge ndoa mwenyew kimoyomoyo nikasema hata umri ningempita bado isingesaidia kabsa.
Yaan amezidi 30 afu anabana mzigo??atapata wapi sasa mtu anaejivisha bomu kuoa mtu above 30 bila kupima kama yaliyomo yamo.
 
Unaona sifa mwenyewe kuongea upumbavu kama huo! Unafikiri wadada wote wenye umri kuanzia miaka 30 ndo wana dhiki ya kuolewa? Tena afadhali na hao maana ukioa wanatulia kweli kuliko videmu vinavyoanza kuvunja ungo, maana wengi wao mapepe tu bora hata wa miaka 30-35 akili zao zimekuwa za kiutu uzima, wengi wao siyo tegemezi na wanajua kusaka ela. Na wakipenda wanapenda kweli, sasa ww hangaika na umri wa chini kila cku kuombwa vocha mara ela ya Saloon mara nguo ya sikukuu mpaka ela ya chupi
. Wakati wenzao wanawaza maisha. Kiukweli sitaki Msichana asiyezidi miaka 30. Ndiyo ujiulize sasa kwanini msanii mkubwa mwenye Pesa zake kama daimond anamng'ang'ania '' 'zarithebosslady 'na kuishia kuchezea kina 'Hamisamobetto' binafsi nataka mwanamke wa maendeleo. Umri namba angalia maendeleo kijana.
Sio kila mwanaume anataka mke mtafuta hela.Na hapo ndio mnapokosea
 
Msameheni bure huyu mtoto, akikua ataacha ujinga wa kudharau watu kwa kigezo xha umri! Watu dizaini hii utakuta bado anakula kwa shikamoo! Pole yake na maisha hayajui bado!
 
Aliekwambia wanashida ya ndoa in nani Lisa ulimpata Huyo chiep basis umeconclude wote wapo hivyo shubamit
 
yanini kuangaika na wanawake 30+ wakati vitu vibichi vipo vya kutosha..30+ unakuta wahuni washajipigia vya kutosha(kama kakuvutia wewe..ni wanaume wangapi walio vutiwa nae kama wewe mpaka amefika umri uwo),unakuta kashatoa mimba nyingi sana na kama kwenye uchumi yuko vizuri itaonekana yeye ndo anakutunza(utaonekana mario)
Wameshatoa mimba nyingine sana??? Wewe umeshirikiana nao kutoa ngapi??
 
Nina Dada Angu Ameolewa ana Miaka 39 Na Jamaa Fran Iv yeye Jamaa anagonga 42 Wote Hawana Watoto Bt Mwaka Juz Mungu Ameeabarid Wamepata Mtt Wa Kiume Na Maisha Yanaenda

NB:

Ndoa Sio Kitu Cha Kukimbilia Bhana
 
Tangia nilipojua tofauti ya wasichana wadogo na hao unaowaita 30+,
Siwezi na sitakuja kuoa Mtoto mdogo.
Nitaoa Mkubwa au single mama.
Vibinti vidogo hivi vinasumbua mno kuliko ufikiriavyo.
Badili mtazamo wako mtoa mada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom