Wadada wenye 30+ wanatia huruma

aisee tatizo wanaume wakiafrika mwazani ndoa ni muhimu kwa mwanamke kuliko mwanaume.
Ndiyo. The number one need of a man is sex. Ngono ndiyo hitaji muhimu sana la mwanaume. Lazima uoe make atakaehimili na atakaye kuwa mtamu na muwajibikaji.
 
acheni kuwapa presure dada zetu huwezi kuolewa kisa jamii ikuone na wewe umeolewa kuna vitu vingi vyakuangalia kabla ya kukimbilia ndoa...
Ndiyo. Kuna vitu Vinci vya kuangalia. Lkn ikishafika 30+ aachane na ndoto za kuolewa, ameshazeeka. Kila jqmbo na wakati wake, wakati wa 30+ ulishapita.
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Kuolewa ni mpango wa Mungu usione mtu ana 30 hadi 40+ hajaolewa ukafikiri amependa huwezi jua kikwazo chake ni nini, kila jambo lina wakati wake.
 
Kijana mwenzangu hujawahi kukutana na mwanamke above 30 afu ukawa na mhogo wa jang'ombe kisha ujue kumkojoza na kumtoa maji!! Kukumbuka kumkojoza na kumtoa maji ni vitu tofauti! Lazima atakuhaidi kifo ukimuacha, yaani atasema ukiniacha nakuua hata kama hajawahi kuua hata mende!! Ni watamu na wanajua nn mwanaume anahitaji na ni watulivu mno kwenye mahusiano!!
 
Hata km ningekuwa na 40 siwez kumshobokea asiyenipenda, kizuri ni kizuri tu, wavulana wengi ndio wanatongoza wadada tena uongi wao wanadata hatare na mapenzi yao ni ya dhati.
 
Mtia mada umeongea mawazo yako ukayagenerolaiz maana ulichosema hakina ukweli wowote...angalau ungeanza hapa jf kwa kuuliza wadada wangapi waliolewa tena ndoa takatifu wakiwa 30+ then ungepata jibu...kila siku mtaani tunashuhudia ndoa za wadada wa miaka 30 kwenda juu.
Wadada mlio above 30 na hamjaolewa msikate tamaaa ndoa yenu ipo kama so leo ni kesho cha muhimu ni kuishi maisha ya utulivu na kumpendeza Mungu
 
Acha kuwakatisha tamaa bn, wapo waliojitunza mpaka umri huo au wanawatoto yaani single mumz na wanaolewa kama kawa
 
Kuolewa ni mpango wa Mungu usione mtu ana 30 hadi 40+ hajaolewa ukafikiri amependa huwezi jua kikwazo chake ni nini, kila jambo lina wakati wake.
Wakati wa mwanamke mwenye 30+ au 40 (kama unavyosema), haupo tena. Umekwisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom