Wadada wenye 30+ wanatia huruma

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,849
51,204
Ukipiga mluzi hata kama unafukuza ndege akiusikia anasimama. Ukimtumia SMS ya salaam anajibu kwa unyenyekevu na adabu zote.

Ukianza kuchat naye mwambie tu kuwa mimi ni mtu mzima sitaki mahusiano ya kupotezeana muda. Dada ataunga mkono hoja na kukuona kuwa upo serious kwa ndoa.

Akichelewa kujibu SMS ama akipinda kidogo kwenye hoja mtishie kumuacha, dada atakusihi "mpaka basi".

Baada ya hapo mwambie akuletee mgegedo kwakuwa hutaki "kunywa maji" sehemu nyingine mara upatapo kiu. Dada atakuja mbio.

Kumbe kidume unamuwaza under 18, muhenga anajituma bure na kufanya usafi na mapishi huku ukimng'ong'a.

Jamani wadada mpo kwenye zama ngumu sana hizi nikisikiliza mastori ya kiumeni nawaonea huruma sana.Hivi huwa mnajua kwamba mkiondoka getto anakuja under 18 kupiga kambi?

My take: Dada ukifikisha 30 hujaolewa, bora uachane na ndoto za kuolewa. Tafuta utaratibu wa kukata kiu yako tu. Dada utamu ushakwisha na joto hauna tena. Pia ute wa kulainisha k ushaganda na kutengeneza vijiwe vidogo vidogo (,crystals). Menopause ndiyo hiyo inakuja akutake nani!
 
Ukiona niko kwenye shida, niombee...
Ndoa yangu imevunjika, niombee...
Nikikawia kupata mtoto, niombee...
Hata nijapo kuwa mjane,niombee...
Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena,
Ujue kwa maombi yako mimi nitabarikiwa!

USIFURAHI JUU YANGU by UPENDO NKONE
 
Ukipiga mluzi hata kama unafukuza ndege akiusikia anasimama. Ukimtumia SMS ya salaam anajibu kwa unyenyekevu na adabu zote.

Ukianza kuchat naye mwambie tu kuwa mm ni mtu mzima sitaki mahusiano ya kupotezeana muda. Dada ataunga mkono hoja na kukuona kuwa upo serious kwa ndoa.

Akichelewa kujibu SMS ama akipinda kidogo kwenye hoja mtishie kumuacha, Dada atakusihi "mpk basi".

Baada ya hapo mwambie akuletee mgegedo kwakuwa hutaki "kunywa maji" sehemu nyingine mara upatapo kiu. Dada atakuja mbioooo. Kumbe kidume unamuwaza under 18, muhenga anajituma bure na kufanya usafi na mapishi huku ukimng'ong'a.

Jamani wadada mpo kwenye zama ngumu sana hizi.. Nikisikiliza mastori ya kiumeni nawaonea huruma sana.
Hivi huwa mnajua kwamba mkiondoka getto anakuja under 18 kupiga kambi?

My take. Dada ukifikisha 30 hujaolewa, bora uachane na ndoto za kuolewa. Tafuta utaratibu wa kukata kiu yako tu. Dada utamu ushakwisha na joto hauna tena. Pia ute wa kulainisha k ushaganda na kutengeneza vijiwe vidogo vidogo (,crystals). Menopause ndiyo hiyooo inakuja Akutake nani!!!????
Tatizo lako na wenzio mnapenda kukariri unamwona 30 mkubwa kazaa dunia wapo wanaowapenda na ukubwa wao pambana na hali yako
 
Nakumbuka mmoja alinitafta fb kwa kunitumia friend request nilivyo acept tu akaja mesenger na kuanza kunihoji utazani yeye ni askari mpelelezi, nilimjibu kwa usahihi kila alichouliza mwisho wa yote akaniuliza umri nikamjibu sahihi akasema sio mbaya, nikamuuliza sio mbaya nn akasema japo umri nimekupita lakini sio mbaya, nikamwambia kwan vip, akafunguja dah nilikosa pozi mana agenda yake mzigo hatoi mpaka afunge ndoa mwenyew kimoyomoyo nikasema hata umri ningempita bado isingesaidia kabsa.
 
Unaona sifa mwenyewe kuongea upumbavu kama huo! Unafikiri wadada wote wenye umri kuanzia miaka 30 ndo wana dhiki ya kuolewa? Tena afadhali na hao maana ukioa wanatulia kweli kuliko videmu vinavyoanza kuvunja ungo, maana wengi wao mapepe tu bora hata wa miaka 30-35 akili zao zimekuwa za kiutu uzima, wengi wao siyo tegemezi na wanajua kusaka ela. Na wakipenda wanapenda kweli, sasa ww hangaika na umri wa chini kila cku kuombwa vocha mara ela ya Saloon mara nguo ya sikukuu mpaka ela ya chupi
. Wakati wenzao wanawaza maisha. Kiukweli sitaki Msichana asiyezidi miaka 30. Ndiyo ujiulize sasa kwanini msanii mkubwa mwenye Pesa zake kama daimond anamng'ang'ania '' 'zarithebosslady 'na kuishia kuchezea kina 'Hamisamobetto' binafsi nataka mwanamke wa maendeleo. Umri namba angalia maendeleo kijana.
 
Nadhani huu ni mtazamo wa mwandishi na anahaki ya kutoa maoni ingawa asijumuishe wanaume wote au wengi akiwa na sample ya watu wawili..
Nadhani unapooa mtu mwenye miaka 30 and above mnakua mko serious na maisha na utoto mlishamalizana nao. Ukiona unataka kumfanyia mambo ya kitoto then nahisi anayefanya huo utoto ndio mwenye matatizo.
Sasa dada ambae amepitia mengi kwenye maisha zaidi ya ndoa kwako atake nini kingine?
Ndio maana kama unamhitaji lazima uwe committed kwaajili ya kuendelea nae na maisha maana haanzi maisha.
Kwa mtizamo wangu ukifika wakati wa kuoa mtu mwenye akili iliyotimia na kuyajua maisha vyema ananafasi kubwa ya kuolewa na mtu mwenye akili kubwa na kuyajua maisha na hapo ndipo kwenye utata kumpata mwanaume mwenye akili kubwa na kuyajua maisha.
Msivunjike moyo ndoa haina kuwahi wala kuchelewa
 
Ukweli mke Mwema hutoka kwa MUNGU awe 40+ au 18+ japo hii kisheria hairuhusiwi ukimpata mwanamke aliyefunzwa na kumcha MUNGU simaanishi anaenda kanisani au msikitini nasema anamwogopa MUNGU umepata Mke na utafanikiwa maisha. Ila awe mdogo wa miaka mitano kama hana ana roho mbaya Ndugu yangu utasumbuka. Hivi ubahatike tu upate mwanamke mshirikina alafu ikute na ww haupo kwa MUNGU sawa sawa wala sio nshirikina nakuambia utafanywa Ndondocha na kila jambo akikuambia utakuwa unajibu shikamoo. Kikubwa Mwombe MUNGU akupe Mke maana yeye ndio anajua mioyo ya watu na pia aliyekaa miaka 30+ sio wote walikuwa wanadharau wengine basi ni mapito yao tu aliyokusudia MUNGU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom