Ummesh
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 2,077
- 1,144
Kabsa!Ni kweli wanaHustle kutafuta ndoa..lkn kwann uzidi kumpotezea muda!? Labda usingemsumbua angepata mtu SERIOUS wa kufunga nae ndoa..sio vizuri![]()
Kabsa!Ni kweli wanaHustle kutafuta ndoa..lkn kwann uzidi kumpotezea muda!? Labda usingemsumbua angepata mtu SERIOUS wa kufunga nae ndoa..sio vizuri![]()
Aisee kweliNadhani huu ni mtazamo wa mwandishi na anahaki ya kutoa maoni ingawa asijumuishe wanaume wote au wengi akiwa na sample ya watu wawili..
Nadhani unapooa mtu mwenye miaka 30 and above mnakua mko serious na maisha na utoto mlishamalizana nao. Ukiona unataka kumfanyia mambo ya kitoto then nahisi anayefanya huo utoto ndio mwenye matatizo.
Sasa dada ambae amepitia mengi kwenye maisha zaidi ya ndoa kwako atake nini kingine?
Ndio maana kama unamhitaji lazima uwe committed kwaajili ya kuendelea nae na maisha maana haanzi maisha.
Kwa mtizamo wangu ukifika wakati wa kuoa mtu mwenye akili iliyotimia na kuyajua maisha vyema ananafasi kubwa ya kuolewa na mtu mwenye akili kubwa na kuyajua maisha na hapo ndipo kwenye utata kumpata mwanaume mwenye akili kubwa na kuyajua maisha.
Msivunjike moyo ndoa haina kuwahi wala kuchelewa
Mbaya sanaYaani mkuu, wako desperate kuolewa basi wanajirahisi balaa. Wanaume wanaitumia fursa hii vizuri. Wanakula mzigo, wanawadekisha, wanawapa nguo wafue, wanawapika halafu wakiwachoka kuwatumia wanawazingua
Dah kumbe unajisifia kuwa mtoto wa zinaa? Hahaha what's a nonsenseJamani wanaume tupunguze kuwaponda dada zetu khaaa kaolewa sio lazima bwana mungu hajaumba kila mtu aolewe wengine wameolewa ila mambo magum mimi mama yangu hajawai olewa maishani ila ana furaha isiyo na kifani
Nime kukumbuka mbona kimyaKwani mna adabu nyie na shukurani???!!!
Umewaza zaidi ya kuwaza!Ukiona niko kwenye shida, niombee...
Ndoa yangu imevunjika, niombee...
Nikikawia kupata mtoto, niombee...
Hata nijapo kuwa mjane,niombee...
Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena,
Ujue kwa maombi yako mimi nitabarikiwa!
USIFURAHI JUU YANGU by UPENDO NKONE
Sio wote lazima waolewe ebu huko
Kuna mtu kakulazimisha uwaoe hao 30+ ?
Hakuna cha jiwe gizani wala nini sio wote wameandikiwa kuolewa mnatakiwa mjue hivyo![]()
Punguzeni Jazba..mtu akiona hivi ndio atawaza 'Jiwe gizani'
ndio lakini usipanic sasaHakuna cha jiwe gizani wala nini sio wote wameandikiwa kuolewa mnatakiwa mjue hivyo
Ungejua me sipo huko kabisa sema nawajibia tu wengine uwe na jioni njemandio lakini usipanic sasa
haya poa sana...na kwako piaUngejua me sipo huko kabisa sema nawajibia tu wengine uwe na jioni njema
Walipishana na wanaume kwa kuwalingia tu wakidhani muda unasimama.Mkuu umewakosea waombe radhi ingawa ukweli upo humohumo ila sio vizuri unamaanisha umri wa kuolewa walikuwa wanalinga hata ukawapita duuu