Wadada wenye 30+ wanatia huruma

Wadada wenye 30+ wanatia huruma

Nimekuwa nikisoma hizi za makala za wanawake waliochelewa kuolewa. Why 30 inawekwa kama cut-off? Why not 29, 28 or any other age?
 
Mkuu kujibu swali lako nakuuliza swali pia. Kwann miaka 18 (-) ni mtoto na 18 (+) siyo mtoto? Kwann miaka 35(-) ni kijana na 36+ ni mtu mzima?

Tafiti za kibaolojia zinaonyesha kuwa umri wa miaka 30 - 35 ndiyo afya bora ya uzazi inakoma. Kuanzia miaka 36- 40 afya ya uzazi inaanza kudorora. 40- 45 mwanamke hafai kuzaa.

Sasa unaoaje mtu ambaye amefika mwiaho ktk afya yake ya uzazi??

Kumbuka; afya ya uzazi inaendana na mgegedo
 
Uko sahihi. Sikuzijua hizi tafiti nikafikiri ni watu wamejipangia huo umri. Kwahiyo wanawake wanatakiwa kuzaa kati ya 30 na 35 kwasababu unasema ndo umri wanakuwa wamekomaa.
 
Duuh nko na 25 natongozwa sana bt kila mtu naona hana hadhi yang mwingne anahadhi bt kuna vgezo hana naomba Mungu amlete ninae mtaka kabla cjafika 30 nsije kuwakumbuka hawa
 
we unataka vigezo gan...hakuna binadamu hasa mwanaume alokamilika hapa duniani
 
30 mbona mdogo bado
Umemuona dogo janja
Kavuta jiko
Bila kujali uwoya ana mtoto au ana umri gani
 
Duh hii mada imenistua... Aisee mimi ninaye 28 years old, anataka nimuoe ila mm simtaki kiukweli. Ni mfupi halafu mnene. Ameshanitambulisha kwa ndugu zake mpaka mama yake wakati sijamwambia. Ameshanitumia namba ya mama yake eti nimpigie wala sijaisave. Anakwenda kanisani kama mara 3 kwa siku, nahisi kuombea ndoa, kumbe mm wala simwazii yeye.

Nawaza gia ya kuchomoka bado sijaipata. Sijui nianzeje....maana nahisi kuchelewa kujiengua...
 
Nilichokigundua hapa vijana under 30 wanaona miaka 30 mingi sana na mtu ashakuwa mzee kissi yuko desperate!
 
Mkuu kujibu swali lako nakuuliza swali pia. Kwann miaka 18 (-) ni mtoto na 18 (+) siyo mtoto? Kwann miaka 35(-) ni kijana na 36+ ni mtu mzima?

Tafiti za kibaolojia zinaonyesha kuwa umri wa miaka 30 - 35 ndiyo afya bora ya uzazi inakoma. Kuanzia miaka 36- 40 afya ya uzazi inaanza kudorora. 40- 45 mwanamke hafai kuzaa.

Sasa unaoaje mtu ambaye amefika mwiaho ktk afya yake ya uzazi??

Kumbuka; afya ya uzazi inaendana na mgegedo
kwa Bahati mbaya hao 30s mnaowatukana kila siku ndo wanaongoza kuolewa..Mimi naangaliaga sana kipindi ndoa wadada wengi ni juu ya miaka 30...
 
Usiangalie hao wanaofanya harusi mkuu. Hao wanakamilisha tu baada ya kuwa wapenzi kwa miaka kibao tena wakiishi kinyumba kabisa.

Lkn kumvagaa mdada miaka 30+ eti ndiyo unaanza alifu, hiyo ngumu..ngumu sana.
 
aisee kwaiyo wanaume wote waliooa wanawake wakiwa na 30s walilazimishwa? Acheni hizo tatizo wanaume wakiafrika mwazani ndoa ni muhimu kwa mwanamke kuliko mwanaume.
 
Uko sahihi. Sikuzijua hizi tafiti nikafikiri ni watu wamejipangia huo umri. Kwahiyo wanawake wanatakiwa kuzaa kati ya 30 na 35 kwasababu unasema ndo umri wanakuwa wamekomaa.
Hapana. Namaanisha ktk umri huo awe ndiyo anamalizia kuzaa. Siyo eti ndiyo anataka kuolewa.
 
na Mimi Hao ninaozungumzia sio wale waliowahi kuishi wote kabla ya kufunga ndoa.
 
acheni kuwapa presure dada zetu huwezi kuolewa kisa jamii ikuone na wewe umeolewa kuna vitu vingi vyakuangalia kabla ya kukimbilia ndoa...
 
Duuh nko na 25 natongozwa sana bt kila mtu naona hana hadhi yang mwingne anahadhi bt kuna vgezo hana naomba Mungu amlete ninae mtaka kabla cjafika 30 nsije kuwakumbuka hawa
Bahati mbaya sana hutakaa umkute binadamu chini ya jua hili ambaye aliekamilika 100% (kwa vigezo vya kibinadamu). Tena mwanadamu mwenye mapungufu kibao kama wewe.
 
Duh hii mada imenistua... Aisee mimi ninaye 28 years old, anataka nimuoe ila mm simtaki kiukweli. Ni mfupi halafu mnene. Ameshanitambulisha kwa ndugu zake mpaka mama yake wakati sijamwambia. Ameshanitumia namba ya mama yake eti nimpigie wala sijaisave. Anakwenda kanisani kama mara 3 kwa siku, nahisi kuombea ndoa, kumbe mm wala simwazii yeye.

Nawaza gia ya kuchomoka bado sijaipata. Sijui nianzeje....maana nahisi kuchelewa kujiengua...
Mkuu usijilazimishe, na wala usimuonee aibu. Hata kama amekufulia, umemgegeda mara kadhaa ama amekutambulisha kwa ndugu zake. Kama moyoni hayumo utajitwisha kimeo na zigo la maisha yako yote.
 
Nilichokigundua hapa vijana under 30 wanaona miaka 30 mingi sana na mtu ashakuwa mzee kissi yuko desperate!

Kwa mwanamke miaka 30 + ni mzee sana. Amekongoroka. Havutii tena kitandani, anatia kinyaa kabisa
 
  • Thanks
Reactions: ywf

Similar Discussions

Back
Top Bottom