Wadada warembo ma single mpo kweli humu ?

Mambo madogo unapoteza muda wote huu hebu kuwa serious basi na unawaambia wakina Dada ni Mfanyabiashara wa kimataifa na Mhandisi πŸ˜†
Huu pia ni mtizamo wako mkuu wangu nipo free now sina muda ninaopoteza
 
wakuu kwema ?

Na mimi natafuta mrembo mpole mwenye hofu ya mungu

Nina 26yr mtanashati na najielewa, mimi ni mkristo location dar es salaam mishe international businessman + Engineer

Ninajua kupika, kufua vizuri πŸ™
Humu jukwaani utapoteza tu muda mkuu,

Hakuna mrembo humu wote ni makungwi, aidha ni single mother au ndoa zimekaribia kuwashinda. Tafsiri ya urembo kwa mwanamke ni kuwa na uwezo wa kujisitiri na usiri wa utupu wake. Sasa mwanamke aliyeingiliwa na wanaume zaidi ya kumi na urembo ni wapi na wapi!

Toka mtandaoni rudi kijijini kwenu katafute mwanamke ambaye ni bikra aliyelelewa kwenye maadili mazuri ambaye hana ego na sio feminist.
 
wakuu kwema ?

Na mimi natafuta mrembo mpole mwenye hofu ya mungu

Nina 26yr mtanashati na najielewa, mimi ni mkristo location dar es salaam mishe international businessman + Engineer

Ninajua kupika, kufua vizuri πŸ™
Age yako mbona ndogo, kuhusu kupeleka sina wasiwasi na hiyo age ila nakuona mtoto bado, hela utakuw nayo kweli maana km vile unajitafuta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…