Silent King
Senior Member
- Jul 17, 2026
- 163
- 362
Jamaa tayar ameshajitambulisha mapema kwamba mipaka yake inaweza kuvunjwa,,maana tayar kashasema atakuwa anapika na kufua,kwahiyo wikiend anapewa tu furushi la nguo za kufuaAnapiga jaramba la kuja kufua chupi za mke wake mtarajiwa Bwashee
Mwamba kaweka sifa ya kipuuzi sanaJamaa tayar ameshajitambulisha mapema kwamba mipaka yake inaweza kuvunjwa,,maana tayar kashasema atakuwa anapika na kufua,kwahiyo wikiend anapewa tu furushi la nguo za kufua
Tatizo li kwapi mkuu wangu sio mahusiano ya ushindani sio mahusianoJamaa tayar ameshajitambulisha mapema kwamba mipaka yake inaweza kuvunjwa,,maana tayar kashasema atakuwa anapika na kufua,kwahiyo wikiend anapewa tu furushi la nguo za kufua
Kama huwezi kumfulia mwenzako basi hujielewi hayo ni mambo ya kawaida na hayakufanyi usiwe mwanaumeMwamba kaweka sifa ya kipuuzi sana
Mimi sio shabiki wa malaya mkuu wangu mimi ni mtu mzito sanaHapo Igole si kunamalaya wa kumwaga tu bro na leo ni ijumaa…au kiherehere cha konyagi kinakuchachafya?
Eeeeh ,wewe toka bhanaKama huwezi kumfulia mwenzako basi hujielewi hayo ni mambo ya kawaida na hayakufanyi usiwe mwanaume
Kama huwezi kumfulia mwenzako basi mna maisha mabaya sanaEeeeh ,wewe toka bhana
Hao ni watatuNi mmoja mkuu wangu
Nataka mmoja mkuu wanguHao ni watatu
Source trust me bro🤞Hakuna mwanamke single JF. Nakuhakikishia hilo.
Labda awe single kwa kujitakia, labda anajipumzisha.
Basi Rudiana na yule mchaga wako mlee familia acha ushaba wa kupagawishwa na masingo maza wa jeiefuMimi sio shabiki wa malaya mkuu wangu mimi ni mtu mzito sana
Jamani nini? Hutaki waje?jamani
Au sioBasi Rudiana na yule mchaga wako mlee familia acha ushaba wa kupagawishwa na masingo maza wa jeiefu
We apoJamani nini? Hutaki waje?
Nimefanyaje?We apo
UmekujaNimefanyaje?
Hapana sitakiWw hutak kupanda ✈️
Enhee nimekuja kuchangamsha uziUmekuja