kabanga salama mkuu
mambo niaje aise
namuona mshana jr na kiwatengu wanaleta za gizani Preta nimekumiss KOKUTONA kaishia wapi sijui
Halafu sinaona rambirambi hamjui kuwa nimempoteza mke wangu humu Dena Amsi

Ngie hao wadada mnawapataje me mpk nimekata tamaa sana nimeamua kutotafuta tena mdada humu jf maana kila ukienda utaambiwa mke wa mtu mara nn..........
Atoto sikuachi hadi Library yangu iishiwe ushahidi... Hapa chini utuambiwe unataka kuolewa wakati wewe umesema ni kidume cha mbegu... BAELEZEE BAELEWE...
Atoto sikuachi hadi Library yangu iishiwe ushahidi... Hapa chini utuambiwe unataka kuolewa wakati wewe umesema ni kidume cha mbegu... BAELEZEE BAELEWE... View attachment 451693