Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
ID zao za kiume unazijua?Wakuu!
Nimeona nyuzi kadhaa na comments kadhaa hapa jukwaani, zikilalamika sana juu ya wanaume kutumia ID za kike ili kupata umaarufu. Wengi wanasema Jf hakuna hii jinsia pendwa ya KE.
Ninaomba tufanye verification kidogo hapa, ili mambo yakae sawa.
Mimi nitawataja wadada waliopo humu ambao nina uhakika 100% ni wadada tena warembo! Wengine nimekutana nao wengine tumewasiliana tena kwa muda mrefu sasa na ni marafiki wazuri pia.
Hii itaondoa dhana nzima ya "jf wengi ni wanaume au hakuna wanawake"....
Kama unaona vyema pia, unaweza kuwaongezea wewe ila uwe na ushahidi!!
shansarie i know her very well [emoji8]
KOKUTONA
Honey Faith
Mamndenyi (namfahamu vyema.)
Valentina
marejesho
Preta (nina uhakika via Arushawing)
Heaven on Earth
Passion Lady
kan'tangaze
mamaafacebook
TUMBOO
angelita
lara 1
Lady doctor (kupitia Arushaone)
miss chagga
Madame B (tulishaongea mara kadhaa)
MMAHE
mwallu (rafiki wa muda mrefu).
.............
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] hao hapo nina uhakika kabisa ni KE.
Kuna wengine nimewasahau kidogo nikiwakumbuka...nitaendelea na verification.
Jf warembo wapo....
Yaan we wote unawajua aaaaaNimemtaja namjua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] wananiita mchawi
Watakua wanaogopa yale mambo unaandikaga humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnafanyafanyaje mpaka wanakubali muonane? Mi mbona hawataki[emoji30] [emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji31] [emoji30]Watakua wanaogopa yale mambo unaandikaga humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta fekero nakushauri[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji31] [emoji30]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tafuta fekero nakushauri
Comment yko kwangu hatari tupu unakaribishwa mwaka mpya kwenye familia ya Mwanaliparamba tupate cheaziii pamoja!Asanteee. . . Nawe pia
Wanajitoaga akili tu wwakiwa humu... Mi nawafahamu wawili kwa kuonana na kuongea... VYUMA HASWA.... lakini niliporudi kusoma makomenti yao nikachokaKuna wanawake kadhaa nawafahamu ila kuna mmoja namkumbuka sana, ni mwanamke mrembo zaidi ya nilivyomdhania. Jf wanawake wa ukweli wapo.