Wadada: wanaume warefu wanajisikia na wana dharau

Wadada: wanaume warefu wanajisikia na wana dharau

Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti.
Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.
Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu ni wazuri nje ila tabia zao sio, wengi wanawaona watu walio wafupi kama takataka. nimeona nililete kwenu wadada wa jf semeni kama kuna ukweli hapa.
Be serious.

Yeye ni andunje nini?
 
Urefu ni nini na kipimo cha mwanaume mrefu ni nini?

Vipi kuhusu ufupi na kipimo ca ufupi kwa wadada na wakaka?
 
Urefu ni nini na kipimo cha mwanaume mrefu ni nini?

Vipi kuhusu ufupi na kipimo ca ufupi kwa wadada na wakaka?

Ukiona mtu anainama kwenye mlango wa futi 6 huyo ni mrefu, kipimo cha ufupi start from nothing ft up to 5ft kwani mfupi anaweza hata kuingia uvunguni huku amesimama.
 
Back
Top Bottom