Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Mmh sina bwana
sawa, naona umekua mpole.
Mmh sina bwana
sawa, naona umekua mpole.
hivi urefu wenye uzuri na kupendeza ni size gani?
mimi nina 1.9 m mpaka sasa...
Prove your probably and give us ur examples about tall man traits.
siyo kweli...
Ukiona mtu anainama kwenye mlango wa futi 6 huyo ni mrefu, kipimo cha ufupi start from nothing ft up to 5ft
Hahahahahaaa! Mti wenye matunda ndio hutupiwa mawe! Tunajua hizo ni kasumba za wafupi kutuharibia jina! Teh teh teh!
Tolu hoyeee?
Pimbi mnasikia kauli ya huyu tolu?
Urefu mzuri ni 1.8 = 5.9feets
Hiyo ya 1.9 = 6.2feets unakua kama masai!
Tolu hoyeee?
Sasa mim ni 6.5 ina maana sis ndio majini??
mi mrefi sana ila cna hzo tabia.......moja tu ni kwamba SIWAPENDI watu wafupi...