masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Mtu leo anapigwa sound kwa nguvu, na hapa najua umeshampata. Utatusimulia yatakayojili
mwamshe masai dada basi au unapenda afukuzwe kibaru aanze kupiga mizinga huku hajazoea
1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura
2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu
3..kaka jambazi
alafu wewee sitakutumia tena vitu vizuri
1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura
2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu
3..kaka jambazi
mpaka saa 10:52 huyu usawa wa kulia yuko online anawasikilizia tu..mnavyogombana...
Hata watu wazima timamu huwa zinatekenya. Tena chaji na kibaridi baridi cha alifajiri inakuwa full balaa....
Aaaaaa!! sijakuona mbona?
ahhahah Kaka Jambazi katongozwa
Cc: mke wangu from jf.. Please mtu asinitajie mke wangu niliyempata humu, hapatakalika hapa...
Masai dada, namuunga mkono huyu jamaa, we mkali. Na ukivaa yale mashuka yenu ya kimasai, umbo namba nane. Hakika umeumbika .
1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura
2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu
3..kaka jambazi
ah umenikimbia sababu nimevaa ndala...
ahhahah Kaka Jambazi katongozwa
Aaaaaaa!! afadhari yako wewe, mwenzio hata ndala kama zako sina hivyo natembea peku peku.
mmmh aya bwana....
jirani upo.....?
dhamira kuu na ujumbe wa huu uzi ni kufanya jokes na Kaka Jambazi. mkuu Paw peleka uzi huu kwenye chitchat
Any proof fella?