Wadada wachoma mahindi!

Wadada wachoma mahindi!

kasumba sasa kwa taarifa yako hao wanaume kwanza anaanza kuchokonoa pua na tongotongo zake, halafu anamalizia kukuna scrotum zake ule mkono sasa ndo anageuzia lile hindi ulochagua, na kale ka pili pili mzee ukitafuna kesho unarudi tena. Heri ya demu akijikuna kunako ashika muhindi wako unafaudu unakuwa umeingia uvinza bila wewe kujua hahahaaaa
 
Hahahahahaha jamani,utanifanya niache kula!
 
Usisahau mchoma mahindi mwanaume akibanwa na suusu anajisusuuuu kichakani anajishika Bila kunawa.
kasumba sasa kwa taarifa yako hao wanaume kwanza anaanza kuchokonoa pua na tongotongo zake, halafu anamalizia kukuna scrotum zake ule mkono sasa ndo anageuzia lile hindi ulochagua, na kale ka pili pili mzee ukitafuna kesho unarudi tena. Heri ya demu akijikuna kunako ashika muhindi wako unafaudu unakuwa umeingia uvinza bila wewe kujua hahahaaaa
 
mejaa teleeeeeh!
una kichaa hakyanani. unataka kukaa na wanawake na kucheka nao, wakipika hutaki kula! au unaogopa limbwataz?
aaah! King'asti upooo? mie mzima ila habari ndi hiyo yani hua najilazimishaga tu kula ikitokea nimeenda sehemu may be ugenini na kwingineko
 
Back
Top Bottom