Brainy Chick
Member
- Mar 9, 2013
- 64
- 21
Habari Wadau!
kwanza naanza na samahani kwa wadada watakao kwazika nahili. Mimi sijui ni kwanini lakini huwa najikuta siwezi kununua mahindi ya kuchoma kwa wachomaji wanawake.Huwa naona kama yatakuwa sio matamu na sijui ni kwanini.Walaji naomba kujuzwa huwa yanakuaje.