Wadada wa Kichagga mpo juu, lakini....

Wadada wa Kichagga mpo juu, lakini....

Ngoma inafata mdundo hivi kama mpiga ngoma analeta utani kwenye upigaji mchezaji atacheza vip?
 
[/U]

Gosh kaka zetu hamjatulia ..natamani nimwite wife achungulie hapa...trip yako itakuwa cancelled

wasukuma chali kwa wachaga..............lol!!

Sikonge wee jifanya mjanja tu lakini dawa yako ndogo!!!

....Nsia, Sikonge is coming and its gonna be pure business...........show him hw serious it gets when it comes to njururu!!
 
una uhakika na unayosema au unanakili zile hadithi za kusadikika na kufikirika....wewe ulishawahi kukutana na mambo hayo niliyobold na blue? unaishi sayari gani wewe? jupiter au neptune? ukinijibu haya tutaendelea zaidi
Mmmh! Preta mbona umekuwa mkali kiasi hicho au nyumbani Mkuu nini? Sidhani kama muwasilisha mada alikua na maana yoyote mbaya nadhani ni sisi wapokeaji. Kabila f'lani kuzungumziwa mara kwa mara kwa mazuri na mabaya yake inaonyesha ni namna kabila hilo linavyokubalika.
 
nhh! hapa fix, Mwakyembe hajaoa uchagani, na hata dada ake ameolewa na mnyaki wa Tukuyu
Mbona naambiwa kaolea familia ya akina Mengi (IPPMEDIA?) Au Mengi ni familia iliyo na WASIO WACHAGA? Anyway, Mwakyembe tumuwache na hasa kipindi hiki tuendacho ya Uchaguzi na mie niko kambi ya upinzani. NINAFUTA USEMI WANGU kuhusu Mwakyembe.
 
Nsia mie hanipati ng'ooo. Tukishaandikiana mkataba na nikimwita Ankal Michuzi achukue picha za matangazo, mchezo umekwisha. Tutakuwa tunakutana naye mara moja moja nikiwa na wapiga picha. Mengine namalizana na meneja wake. Kitoto kama hiki hakitakiwi kusumbuliwasumbuliwa ovyo. Si mwenyewe umekiona juzi kilivyotulia kwenye meza ya Majaji huko Arusha?

Ila bwana, kwenye maisha you never know. Ndiyo maana wanasema "NEVER SAY NEVER."
Uzuri ni kuwa Nyani Ngabu nimeshamuahidi KUJITOWA kwenye mashindano.

Balantanda: Nkwingwa, vipi Fidela, kapatikana?

wasukuma chali kwa wachaga..............lol!!

Sikonge wee jifanya mjanja tu lakini dawa yako ndogo!!!

....Nsia, Sikonge is coming and its gonna be pure business...........show him hw serious it gets when it comes to njururu!!
 
Yani unaweza kuingia chumbani na mwanamke mchaga kwa lengo la malavidavi, gafla anaanza kukuambia "yani aisee haya mashuka yalivyo mazuri ungeyatembeza kule kibosho kuuza utapata hela, yani mamdogo manka ametajirika hivi hivi kwa hii biashara"....
Nimeipenda sana hii phrase. Duh! I didn't know this kwakweli
 
Nsia mie hanipati ng'ooo. Tukishaandikiana mkataba na nikimwita Ankal Michuzi achukue picha za matangazo, mchezo umekwisha. Tutakuwa tunakutana naye mara moja moja nikiwa na wapiga picha. Mengine namalizana na meneja wake. Kitoto kama hiki hakitakiwi kusumbuliwasumbuliwa ovyo. Si mwenyewe umekiona juzi kilivyotulia kwenye meza ya Majaji huko Arusha?

Ila bwana, kwenye maisha you never know. Ndiyo maana wanasema "NEVER SAY NEVER."
Uzuri ni kuwa Nyani Ngabu nimeshamuahidi KUJITOWA kwenye mashindano.

Balantanda: Nkwingwa, vipi Fidela, kapatikana?

shem huyo ni nani??? ndo mapozeo ya Bala??? am curious now
 
Shimboni dada'angu.
Sasa kama hatukufahamu tutajuwaje? Wengine sisi ni Ma-Thomas, lazima tuhakikishe.

Mwaga CV yako hapa tuone kama una umbo la kutangaza biashara basi na wewe utumike.

Nsia Swai ni binti ambaye kila akifika sehemu, anatambulika. Ukitangaza biashara yako, kila mtu atafahamu na atataka kuja kuona hicho kitu anachotangaza Nsia. Mie hata limama la Silicon pia ntalitumia ikibidi, si linafahamika?
Ngoja nianzishe WWW ya models ili watu muwe mnatuma CV zenu. Watu watakuwa wanakuja KUVUA.
Kina Nsia tuko wengi uchagani hamtujui tu, acheni kutushambulia jaman na ni lazima mkubali tu kuwa chaggas we are leading. Hakuna ubishi kwa hilo. take care
 
BHT: Shemeji, ni kuwa huyo Nsia Swai alipiga picha na shoga wake aitwaye Fidela na ilisemekana kuwa Fidela katulia na anatafuta mume. Sasa Balantanda alikuwa ameona kuwa binti anafaa sana kuwa Mke wa Mdogo wake. Ila ilibidi aje kwa gia ya "anataka yeye." Mengine msiulize sana jamani maana mtaacha turopoke zaidi.

Mokoyo, wengine tupo na Blackberry. Hata Msalani tupo Jamiiforums. Kuna mshikaji nilimkuta Club anasoma "kumbatio la mwenye makosa."
 
pic.php

Huyooooooo! Poleni vijana.
astakafulai!
 
BHT: Shemeji, ni kuwa huyo Nsia Swai alipiga picha na shoga wake aitwaye Fidela na ilisemekana kuwa Fidela katulia na anatafuta mume. Sasa Balantanda alikuwa ameona kuwa binti anafaa sana kuwa Mke wa Mdogo wake. Ila ilibidi aje kwa gia ya "anataka yeye." Mengine msiulize sana jamani maana mtaacha turopoke zaidi.

Mokoyo, wengine tupo na Blackberry. Hata Msalani tupo Jamiiforums. Kuna mshikaji nilimkuta Club anasoma "kumbatio la mwenye makosa."

yameisha shem, maaana wewe mruka viunzi maarufu sana na hilo nalijua hapo umeshatwist point yako y awali.......mdogo wa Bala ni kipofu??
 
Mdogo wa Balantanda ni :

Sawa basi shemeji. Majukumu yanaita na ngoja nipotee kidogo hadi wiki lijalo. Kuruka viunzi, mhhhh :confused3:

yameisha shem, maaana wewe mruka viunzi maarufu sana na hilo nalijua hapo umeshatwist point yako y awali.......mdogo wa Bala ni kipofu??
 
Last edited by a moderator:
BAK, wengine hizo TABIA mbaya unazosema ndiyo tunazipenda ati. Kale ka-ushambaushamba kao kwa watu kama sisi ma-Bushman wa Sikonge, tunakuwa kama Chanda na Pete. Hamna tabia mbaya duniani. Wengine wanapenda Mimama iliyoshiba kama Nsia na wengine hasa Wazungu wanapenda saaana NYAMA KARIBU NA MFUPA. Hapa kweli ni kubaki tu kufurahi Kazi ya Muumba - Haina makosa.

Mie huwa wananifurahisha tu Kiswahili chao na lafudhi yao "ehhh Kadogo, umemuona yule Mbusi Msichana.....?" Huko chumbani kwa kweli inakuwa ni furaha tu kwani kila wakati atakuchekesha kwa maneno/lugha ambayo hujaizoea. Wengine wanaona hiyo ni shida.
Wanasahau kuwa yule MC wa Moshi, alikufa akishughulikiwa na dada wa Kichaga ati. Halafu wanasema hawajui shughuli! Hata Makonde hajauwa mtu kitandani ndani ya Guest House. Mchaga, YESSSS!!!

Mwageni picha za wasichana wa Wachaga wengine hapa.
hoyce+tem.JPG

Sikonge kama tabia zao mbaya ndiyo zinawavuta kwao kwanini tena muwatake wabadilike!? Mhhhh! Hapo kwenye ushamba ushamba miye sitii neno maana wapo wengi tu wa Mujini (isomeke mjini).

Last edited by a moderator:
hahaha jamani mmeniacha hoi hapa! utamu ilipofungwa kumbe iliumiza roho wengi!

Nsia wewe ni mfano halisi wa 'biashara matangazo' 🙂 naona tayari utatumika kibiashara na kina Sikonge.

Sikonge Nsia anafaa sana kwenye matangazo ya Beer, Sigara, Condom, yatakayorushwa katika halftime ya mechi za football, boxing ....and not to forget Viagra 😀

kama wewe ni wakala wa Viagra Tanzania, waweza kumtumia kutangaza soko lako
 
Back
Top Bottom