Wadada wa Kichagga mpo juu, lakini....

Wadada wa Kichagga mpo juu, lakini....

uyu mdada nsia hata kama alikosea, sasa mmezidi kumchambua jamani, kama kujirekebisha atakuwa amejirekebisha, tuwe fair kwakweli, kila mtu ana makosa yake na huwa tunazo opportunity za kujirekebisha...just step into her shoes, kama ungekuwa wewe unaongelewa hivi kila siku, ungeathirika vipi kisaikolojia...tuwe na roho za utu jamani wakati mwingine...uyo naye ni mwanadamu mwenzetu mweye roho kama yetu ya kuumia na kusikitika vilevile...tusimwumize kiasi icho, au labda mlikuwa na bifu naye siku nyingi, aliwakataa etc...acheni ujinga huu sasa inatosha..
 
Umesoma thread yote Ubungo??
Thread inahusu wadada wa kichagga walivyo wazuri ila wako nyuma kwenye mapenzi...na Nsia amekua mfano tu wa huo uzuri!
Punguza hasira kidogo!!!:yuck:
 
Lakini; Wachagga (wadada) hawajui mapenzi. Wadau wengi wanasema wadada wa kichaga ni malembukeni kwenye mapenzi, ni waoga, ukiwa nao chumbani utadhani unaamrisha kikosi jeshini, sio wabunifu wa vionjo vya mapenzi... Yani unaweza kuingia chumbani na mwanamke mchaga kwa lengo la malavidavi, gafla anaanza kukuambia "yani aisee haya mashuka yalivyo mazuri ungeyatembeza kule kibosho kuuza utapata hela, yani mamdogo manka ametajirika hivi hivi kwa hii biashara".... Wadada wa kichaga, badilikeni banaa.. sio fresh.
HEHEHEHE!
ka-sredi kana-husu sana haka sema ndo ivo nimeka-miss
 
acheni kuwaonea wake zetu jamani!
kila kukicha WACHAGA....WACHAGA..........WACHAGA
 
Umesoma thread yote Ubungo??
Thread inahusu wadada wa kichagga walivyo wazuri ila wako nyuma kwenye mapenzi...na Nsia amekua mfano tu wa huo uzuri!
Punguza hasira kidogo!!!:yuck:

sasa kama si ukabila ni nini hiyo...acheni chuki na wivu kwa wachaga, wamewakosea nini..kama si ukabila wenu ni nini hiyo, mnajenga nini sasa hapa, hamuoni kama mnabomoa umoja wetu, kuna watu wengine humu wameoa wachaga na wataona kumbe pengine walikuwa wamepotea hivyo wakajaribu kwa watu wa kabila lingien pengine watahisi tofauti etc, acheni kujeneroraizi vitu, sisi sote ni sawa hakuna cha mzaramo wala msukuma...acheni kuwatukana dada zetu hivi mnafikiri wachaga wanajisikiaje kuona mnawaongelea hivyo, mnakuwa kama watu wa udaku bwana..stori gani kama hii inakuwa ya wasomi wa jf?
 
AAFU ninyi mnaojifanya mnatukana mabinti wakichaga ninyiiiii!
GAAADEEEM ZENU
 
AAFU ninyi mnaojifanya mnatukana mabinti wakichaga ninyiiiii!
GAAADEEEM ZENU

hahaha, hapo wanawaharibia shemeji zetu, unajua kuna watu wengine wameshafanya hadi engagement hapa na wadada wa kichagga wataanza kujifikiria mara mbilimbili kwa kusoma post za ajabu kama hizi...halafu, hivi mnapowatukana wanawake wa kichagga ivo, hamjui kuwa mnaunganisha kuanzia wasichana wao, mama zao, hadi bibi zao? hii sio adabu wala si ustaarabu...sisi sote ni watz, hatutakiwi kuweka mgawanyo wa mimi mchaga mimi msukuma mimi mmakonde.....sijafurahi kutukanwa kwa dada zetu ivyo..nimevumilia lakini sasa naona iko too much kwakweli..ungejisikiaje ungekuwa na mamako mchagga alafu watu wanakwambia ivo...si inamaana mamangu hamtimizii babangu kwa generalisation yenu?
 
sio siri kama unataka mwenza classic kwenye tabia flaniflani, wadada wa kichagga ni kiboko.

Ukitaka mashepu ya kibantu yapo machame, ukitaka wazuri wa sura wapo marangu, ukitaka wapole wa tabia wapo tarakea na usseri (rombo), ukitaka wachakarikaji ni wachagga wote lakini hasa mashati (rombo), ukitaka sauti za kubembeleza nenda uru au mkuu (ila uwe makini manake hazi-reflect upole), ukitaka vichwa madarasani na maishani nenda rombo marangu ukitaka weupe, warembo, n.k ila kama humaindi miguu, wachaga ni saizi yako.

Lakini; wachagga (wadada) hawajui mapenzi.

Wadau wengi wanasema wadada wa kichaga ni malimbukeni kwenye mapenzi, ni waoga, ukiwa nao chumbani utadhani unaamrisha kikosi jeshini, sio wabunifu wa vionjo vya mapenzi... Yani unaweza kuingia chumbani na mwanamke mchaga kwa lengo la malavidavi, gafla anaanza kukuambia "yani aisee haya mashuka yalivyo mazuri ungeyatembeza kule kibosho kuuza utapata hela, yani mamdogo manka ametajirika hivi hivi kwa hii biashara"....

wadada wa kichaga, badilikeni banaa.. Sio fresh.

lol
 
Hivi ni kipi ambacho huonekana machoni kwa mwanaume anayesaka mchumba/gf? Ni uzuri/muonekano wa nje ama hayo mambo ya chumbani?

Mambo ya chumbani ni creativity ya wahusika wote 2 na si kwa msichana pekee. Kama msichana anaonekana hayawezi, muelekeze, mpe kitabu, majarida na mengineyo ili ajifunze.

Tuachane na hizo imani za kizamani. Katika zama hizi kila kitu kinafundishika kwa sababu ya utandawazi.
 
Eti wadada wa kichagga badilikeni bana!!lol Kwani ni wote wako hivyo au ni baadhi? Wafundisheni basi watabadilika.
 
Si kila mdada wa kichagga yuko hivyo i guess ni huyo/hao uliokutana nao wamekufanyia hivyo wewe unajumuisha kila mtu. Mark the bolded text. Sie ni wazuri sana mungu katujaalia kila kona ya mwili hata kama miguu haijakaa sawa angalau tunatembea kuliko kukosa kabisa miguu (no offence intended). Muache kutusemasema kila siku instead sema na demu wako anayekulet down mkiwa chumbani........................

Yupo jamaa yangu ambaye dem wako mi msomaji wa makala za JF. jamaa anasema juzi kwa mara ya kwanza tangu wajuane dem wake alithubutu kumvua boxer, huku akimuangalia machoni.

JS, wenzio washaanza kubadilika hivyo, we bado?
 
Mambo ya chumbani ni creativity ya wahusika wote 2 na si kwa msichana pekee. Kama msichana anaonekana hayawezi, muelekeze, mpe kitabu, majarida na mengineyo ili ajifunze.

hahahhahaaaa, Umenichekesha sana Keil

sio wanaume wote wamesomea teaching methodology. Reading assignment hadi kwenye majamboz?!!!!
 
sasa kama si ukabila ni nini hiyo...acheni chuki na wivu kwa wachaga, wamewakosea nini..kama si ukabila wenu ni nini hiyo, mnajenga nini sasa hapa, hamuoni kama mnabomoa umoja wetu

Kumbe tuna umoja kwenye mapenzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sawa, lakini sina umoja na mtu kwa mke wangu....
 
Jamani hawa wa namna hii ni wengiiii na wala si wa kichaga tu. Okay, kwa vile mada iliyoletwa ni kuhusu wachaga ndo maana inajadiliwa kwa mtazamo huu. Kikubwa zaidi ni kwamba ifahamike kuwa wewe na yule umpendaye hamuwez kwenda sawa kwa yote, sasa bac pale unapoona mapungufu jaribu kumuelekeza vile utakavyo. Kama ataweza, hiyo ndo raha ya bed.
 
Yupo jamaa yangu ambaye dem wako mi msomaji wa makala za JF. jamaa anasema juzi kwa mara ya kwanza tangu wajuane dem wake alithubutu kumvua boxer, huku akimuangalia machoni.

JS, wenzio washaanza kubadilika hivyo, we bado?

hahaaaa Ramos una lako jambo lol!!!

umenikumbusha kitu, kuna dada mmoja(mchaga) yeye alipokuwa mdogo aliambiw akufanya ngono ni dhambi n she should never do that. alipoolewa ikawa tabu pia kufanya tendo la ndoa na mumewe. yaani jamaa akitaka ni ugomvi mkubwa yaani anafanya kulazimishwa (kuangushana kama kuku kinguvu nguvu).

sasa jamani muache kutulaumu, pengine tumeathirika kisaikolojia kwa malezi ya chastity tuliyolelewa...
 
Yupo jamaa yangu ambaye dem wako mi msomaji wa makala za JF. jamaa anasema juzi kwa mara ya kwanza tangu wajuane dem wake alithubutu kumvua boxer, huku akimuangalia machoni.

JS, wenzio washaanza kubadilika hivyo, we bado?

Eeee Ramos mwenzio wala sina cha kubadilisha so far no complains
 
Eeee Ramos mwenzio wala sina cha kubadilisha so far no complains

eeeh tena baelezeee hata Bi Chau mwenyewe tunaweza kum-coach, yaani maujuzi yetu si cha mtoto
 
kwa kizazi hiki cha sasa sidhani kama kabila la mtu linaendana na matendo yake,watu washachanganyika sana,wamezaliwa sehemu mbali na origin yao,wengine hawajui hata huko ''kwao''.Namshangaa mtu ambaye hadi leo atakuwa CONCERNED na kabila.
 
iv anajua km picha yake ipo apa au ??????//
ok km karidhia fresh bt km ajui yupo dukan saiz watu wanafanya kumpangia gharama.lol!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom